Hb wa Ilala
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,189
- 1,217
Ivi unajua ni % ngapi ya watu inamiliki shares BHK mzee? Ni sorts za Bill gates etc sasa unafikiri mtu mwenye huo uwezo angekua anadiscuss kununua shares JF?Angejua Berkshire Hathaway Inc hisa moja ni Dollar 465600 asingeandika alichoandika
Nilijaribu kuuza hizo hisa nikaambiwa hazina market kabisa (haziuziki).hii imekaaje?? kwamba haurudishiwi hata pesa zako ulizoinvest. naomba kuelewa zaidi
Akikujibu nitag Mkuu.Ivi unajua ni % ngapi ya watu inamiliki shares BHK mzee? Ni sorts za Bill gates etc sasa unafikiri mtu mwenye huo uwezo angekua anadiscuss kununua shares JF?
Mtoa mada alisema shares nyingi ni expensive, ni kweli shares nyingi ni $100,000? Apart from BHK kuna kampuni gani nyingine yenye share gharama hiyo? Muda mwingine tuache ubishi tuelezane uhalisia.
Mkuu naomba mwongozo unawezaje kudeposit kwenye Interactive Brokers? Pia ni vipi naweza kununua Hisa kupitia hawa brokers?Brokers mimi namtumia interactive brokers ishu itakayokupashida ni ku deposit.
Ku deposit kuna namna maana BOT wanazuia