Hb wa Ilala
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,189
- 1,217
Ivi unajua ni % ngapi ya watu inamiliki shares BHK mzee? Ni sorts za Bill gates etc sasa unafikiri mtu mwenye huo uwezo angekua anadiscuss kununua shares JF?Angejua Berkshire Hathaway Inc hisa moja ni Dollar 465600 asingeandika alichoandika
Mtoa mada alisema shares nyingi ni expensive, ni kweli shares nyingi ni $100,000? Apart from BHK kuna kampuni gani nyingine yenye share gharama hiyo? Muda mwingine tuache ubishi tuelezane uhalisia.