Nawezaje kuonana na Mwigulu Nchemba?

Nawezaje kuonana na Mwigulu Nchemba?

Plsm

Senior Member
Joined
Aug 19, 2021
Posts
177
Reaction score
266
Ningependa tu kuonana na Mh Mbunge Mwigulu Nchemba. Nimetumia jina la Mh Mbunge kwa sababu inakuwa rahisi kuweza kumuona tofauti na Waziri, kwa maana jina la Uwaziri linamajukumu mengi

Nahisi nikikutana naye nitatimiza furaha yangu ya moyo wangu na ujumbe wangu atausikia na kuutendea kazi binafsi

Nawezaje kuonana naye, Mungu saidia ujumbe huu aupate

By Paul Mpella

Niko Bagamoyo mpakani mwa Tanga kwa sasa

Mungu mbariki Waziri Nchemba

Mwigulu Nchemba ni member mwenzetu hapa jukwaani, huwa tunampa makavu laivu
 
Ukampige ngumi au maana anazidisha hasira
 
Ukifika mpe pongezi ya kupunguza Kodi ya beer.
Hata Waitara amependa sana hili punguzo
 
Ningependa tu kuonana na Mh Mbunge Mwigulu Nchemba. Nimetumia jina la Mh Mbunge kwa sababu inakuwa rahisi kuweza kumuona tofauti na Waziri, kwa maana jina la Uwaziri linamajukumu mengi

Nahisi nikikutana naye nitatimiza furaha yangu ya moyo wangu na ujumbe wangu atausikia na kuutendea kazi binafsi

Nawezaje kuonana naye, Mungu saidia ujumbe huu aupate

By Paul Mpella

Niko Bagamoyo mpakani mwa Tanga kwa sasa

Mungu mbariki Waziri Nchemba

Mungu akupe nini wewe!! Gunia la chawa ili ujikune? Dr. Mwigulu Nchemba ni mwanachama mwenzako wa JF! Na ni addicted kama wajumbe wengi tu humu, nikiwemo mimi!! Yaani haiwezi kupita siku mbili tatu, bila kuchungulia JF!

Muibukie pm!! Jieleze vya kutosha. Atakujibu tu. Muhimu uwe na sababu za msingi. Zisiwe za kutaka tu kumsalimia au kumpiga mizinga. Kila la heri katika nia yako hiyo.
 
Mkuu asante sana, nimekufurahia sana, na kwa nini unadhani kumpiga mzinga ni kosa kwake?😂😂
 
Mkuu asante sana, nimekufurahia sana, na kwa nini unadhani kumpiga mzinga ni kosa kwake?[emoji23][emoji23]
Tabia ya wananchi kupeleka mahitaji yao binafsi kwa viongozi (kupiga mizinga) kumewafanya viongozi wetu wengi kuwakwepa wanajamii hata pale wanapokuwa na jambo la msingi.

Imagine kwa mfano, Mwigulu Nchemba ni mbunge, waziri na pia ana ndugu, jamaa na marafiki, je ana interact na watu wangapi kutoka hayo makundi?

Maoni yangu ni kuwa, tuwatumie watu hawa kutuwezesha kifursa zaidi kuliko 'kuwapiga mizinga' ili nao wasituone kero, kwa kuwa nje ya nafasi zao nao wana familia na ndugu wakuwasaidia.

Naamini hadi umeandika hapa, nia yako si ya kumtandika 'mzinga', otherwise... all the best.
 
Back
Top Bottom