Nawezaje kuonana na Mwigulu Nchemba?

Nawezaje kuonana na Mwigulu Nchemba?

Usisahau kumkumbushia kufuta mawe aliyoyaandika sehem mbalimbali za nchi.
 
Ahhh...Hayo maeneo uliyopo yana sifa zake mkuu😅
Wabongo bhana! 😂😂 sifa zipi tena mkuu, Tuko na wazalamo, wakweli na wazigua wapole balaa, Niko jirani huku na wazee wa Msoga pale
 
Back
Top Bottom