Ni hivyo tu basi au unalingineNahisi nikikutana naye nitatimiza furaha yangu ya moyo wangu n
Mwigulu Nchemba ni member mwenzetu hapa jukwaani, huwa tunampa makavu laivuNingependa tu kuonana na Mh Mbunge Mwigulu Nchemba. Nimetumia jina la Mh Mbunge kwa sababu inakuwa rahisi kuweza kumuona tofauti na Waziri, kwa maana jina la Uwaziri linamajukumu mengi
Nahisi nikikutana naye nitatimiza furaha yangu ya moyo wangu na ujumbe wangu atausikia na kuutendea kazi binafsi
Nawezaje kuonana naye, Mungu saidia ujumbe huu aupate
By Paul Mpella
Niko Bagamoyo mpakani mwa Tanga kwa sasa
Mungu mbariki Waziri Nchemba
Mungu akupe nini wewe!! Gunia la chawa ili ujikune? Dr. Mwigulu Nchemba ni mwanachama mwenzako wa JF! Na ni addicted kama wajumbe wengi tu humu, nikiwemo mimi!! Yaani haiwezi kupita siku mbili tatu, bila kuchungulia JF!Ningependa tu kuonana na Mh Mbunge Mwigulu Nchemba. Nimetumia jina la Mh Mbunge kwa sababu inakuwa rahisi kuweza kumuona tofauti na Waziri, kwa maana jina la Uwaziri linamajukumu mengi
Nahisi nikikutana naye nitatimiza furaha yangu ya moyo wangu na ujumbe wangu atausikia na kuutendea kazi binafsi
Nawezaje kuonana naye, Mungu saidia ujumbe huu aupate
By Paul Mpella
Niko Bagamoyo mpakani mwa Tanga kwa sasa
Mungu mbariki Waziri Nchemba
Mkuu asante sana, nimekufurahia sana, na kwa nini unadhani kumpiga mzinga ni kosa kwake?😂😂Mungu akupe nini wewe!! Gunia la chawa ili ujikune? Dr. Mwigulu Nchemba ni mwanachama mwenzako wa JF! Na ni addicted kama wajumbe wengi tu humu, nikiwemo mimi!! Yaani haiwezi kupita siku mbili tatu, bila kuchungulia JF!
Muibukie pm!! Jieleze vya kutosha. Atakujibu tu. Muhimu uwe na sababu za msingi. Zisiwe za kutaka tu kumsalimia au kumpiga mizinga. Kila la heri katika nia yako hiyo.
Mkuu, ni wewe mwenyewe?Ni hivyo tu basi au unalingine
Mkuu, jibidiishe kutafuta na kuziona frusa, mbona zipo tuNinawezaje kumroga Mwigulu Nchemba?
Wewe ndie Mwigulu?Mkuu, jibidiishe kutafuta na kuziona frusa, mbona zipo tu
Tabia ya wananchi kupeleka mahitaji yao binafsi kwa viongozi (kupiga mizinga) kumewafanya viongozi wetu wengi kuwakwepa wanajamii hata pale wanapokuwa na jambo la msingi.Mkuu asante sana, nimekufurahia sana, na kwa nini unadhani kumpiga mzinga ni kosa kwake?[emoji23][emoji23]
Mkuu, ulitaka niwe Singida pekee?Ngoja kwanza! Yaani uko Bagamoyo mpakani mwa Tanga, halafu unahitaji kuonana na Mh Mwigulu Nchemba "ili kutimiza furaha yako ya moyo"?
Ehm! Mkuu Mshana Jr msaada tutani! 🤯
Ahhh...Hayo maeneo uliyopo yana sifa zake mkuu😅Mkuu, ulitaka niwe Singida pekee?