Kitambi kutoka ni ngumu brother, ila huwa kinakuja kwa urahisi sana.Habari wanajf
Naombeni mwenye uzoefu na masuala ya vitambi anisaidie uzoefu kwenye hili. Inafika muda naona kama kunenepa ni kosa kwasababu mwili unakuja na kitambi,
Nahitaji kukiondoa kitambi ila sitaki kukonda au kupoteza muonekano,
Nimekosa machaguo kabisa,
1.Kuhusu diet inahitaji nijitese hasa, kushinda njaa , mlo mmoja hadi nipoteze uzito, kwani wengine wanaishije?
2.Kuhusu mazoezi nafanya lakini sioni mabadiliko yoyote.
Naombeni muongozo kwenye hili. Asante.
ndio kuridhika kwenye huko mkuuNi kula ovyo tu, hakuna cha kuridhika.
Kaka Mimi napenda hiki kitambi cha kuvalia suti na sipendii kuwa mwembamba ninaheshimika kwa jamiiKitambi ni ishara ya uzembe na uvivu
Mimi Nina kakitambi kakuvalia suti Nina futi sita na kilo 85 nishauriiUna kilo ngapi?
😁 uzembe huoKaka Mimi napenda hiki kitambi cha kuvalia suti na sipendii kuwa mwembamba ninaheshimika kwa jamii
African culture kua na kakitambi ni heshima kaka ☺️😊
Food4Thought: Muda utakaotenga kwa mazoezi maalum ndio ufumbuzi, Nimeanda mini-documentary hii hapa.Nahitaji kukiondoa kitambi ila sitaki kukonda au kupoteza muonekano,
Punguza vyakula vya wanga na upunguze milo, kutoka mitatu hadi miwili
Lakini jitahidi ufanye mazoezi yanayokata tumbo
Punguza kula.
Punguza kutumia vyombo vya moto vya usafiri.
Tembea angalau kilomita 8 kwa siku.
Punguza wanga na masukari. Shukuru unene wako unakuja na kitambi, kuna ambao wamejaliwa makalio.
Wengine tunakula mlo mmoja still hatupunguiPunguza vyakula vya wanga na upunguze milo, kutoka mitatu hadi miwili
Lakini jitahidi ufanye mazoezi yanayokata tumbo
Kwa kweli ni changamoto, labda kupunguza kilaji na vyakula vya mafuta piaWengine tunakula mlo mmoja still hatupungui
Hakuna namna mtu anaweza kupungua tumbo kisha sehemu zingine zibaki vilevile.Habari wanajf
Naombeni mwenye uzoefu na masuala ya vitambi anisaidie uzoefu kwenye hili. Inafika muda naona kama kunenepa ni kosa kwasababu mwili unakuja na kitambi,
Nahitaji kukiondoa kitambi ila sitaki kukonda au kupoteza muonekano,
Nimekosa machaguo kabisa,
1.Kuhusu diet inahitaji nijitese hasa, kushinda njaa , mlo mmoja hadi nipoteze uzito, kwani wengine wanaishije?
2.Kuhusu mazoezi nafanya lakini sioni mabadiliko yoyote.
Naombeni muongozo kwenye hili. Asante.
True sisi WAZEE WA kilaji kimtindo kwa kweriiiii ☺️😊Kwa kweli ni changamoto, labda kupunguza kilaji na vyakula vya mafuta pia
Detox teaHabari wanajf
Naombeni mwenye uzoefu na masuala ya vitambi anisaidie uzoefu kwenye hili. Inafika muda naona kama kunenepa ni kosa kwasababu mwili unakuja na kitambi,
Nahitaji kukiondoa kitambi ila sitaki kukonda au kupoteza muonekano,
Nimekosa machaguo kabisa,
1.Kuhusu diet inahitaji nijitese hasa, kushinda njaa , mlo mmoja hadi nipoteze uzito, kwani wengine wanaishije?
2.Kuhusu mazoezi nafanya lakini sioni mabadiliko yoyote.
Naombeni muongozo kwenye hili. Asante.
Zinaongeza sana unenne hizo mamboTrue sisi WAZEE WA kilaji kimtindo kwa kweriiiii ☺️😊
Ujinga wa ring unakuletea maumivu ya mgongoKuna Ring linauzwa 15k na bench linauzwa 250k hadi 200k,ukiwa serious miezi mitatu kitambi kinaisha