Nawezaje kuondoa kitambi bila kukonda?

Mbona unakuwa umepunguza budget, chai bila sukari, mchana unakula kidogo jioni hauli kabisa au matunda ya buku yanatosha au kongoro/supu kavu..sehemu za kawaida ambapo ulikuwa unatumia usafiri inabidi utembee kuzitafuta 10km...
 
Ishi maisha yako Ndugu, Acha kutokwa na mishipa bure, kwani mtu akila wewe inatuhusu nini?
 
Cha kuongezea
Hata huko marekani jamii ya watu weusi ndio inaongoza kuwa na watu wanene....matipwa tipwa
 
Unaweza kwa kuacha wanga wa wali na ugali, soda na sukari zote,

Tumia mihogo, viazi vitamu, nyama, ndizi mbivu, mafuta ya mifugo.

Kwa maarifa zaidi mfuatilie Dr.Eric Amerix twitter au telegram.
 
Unaweza kwa kuacha wanga wa wali na ugali, soda na sukari zote,



Tumia mihogo, viazi vitamu, nyama, ndizi mbivu, mayai ya kienyeji, mafuta ya mifugo(samli) kwa kupikia.



Huwezi kwepa gharama ya kutoacha kula milo yote.



Matokeo ya hayo ni raha ya awali ya kufulia tu bila kuzingatia unachoingiza kinywani, pia kama ni mtumiaji wa bia acha.



Kwa maarifa zaidi mfuatilie Dr.Eric Amerix twitter au telegram.
 
Unaweza kwa kuacha wanga wa wali na ugali, soda na sukari zote,

Tumia mihogo, viazi vitamu, nyama, ndizi mbivu, mayai ya kienyeji, mafuta ya mifugo(samli) kwa kupikia.

Huwezi kwepa gharama ya kutoacha kula milo yote.

Matokeo ya hayo ni raha ya awali ya kufukia tu bila kuzingatia unachoingiza kinywani, pia kama ni mtumiaji wa bia acha.

Kwa maarifa zaidi mfuatilie Dr.Eric Amerix twitter au telegram.
 
Tafuna tangawizi mbichi kila siku kwa miezi mitatu mfululizo.
 
karibu nikusaidie na nakuahidi tatizo hilo litaisha ndan ya muda mfupi tu... +255686959035
 
Ukiamka asubuhi kunywa glass Moja ya maji ya moto alafu usile chochote Hadi mchana
 
Hao wanaowashuri wenzao wasile wanga ni waongo....mwili unahitaji kila kitu in right proportional...
 
TAFUTA

UBUYU WA DODOMA KAMA UKO SERIOIS


LOWEKA MASAA 6

KUNYWA DAILY HAKIKISHA HUENDI KAZINI MDAHIO

TOILET AT UR OWN FEELING
 
Hapo ndio unapokosea, hutakiwa kukaa njaa utapata vidonda vya tumbo, Kila vyakula vya asili na visivyo na wanga Sana brother, kila protein Kwa wingi,mboga za majani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…