Nawezaje kuondoa rangi kwenye meno na yakawa meupe kabisa?

Nawezaje kuondoa rangi kwenye meno na yakawa meupe kabisa?

Hello.
Nawezaje kuondoa rangi kwenye meno na yakawa meupe kabisa?
Nimeshasugua Sana na mkaa ila bado

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Kuna clinici ipo VETA CHANG'OMBE IKO JENGO LA SOFIA HOUSE GHOROFA YA KWANZA PALE FRESH UNAWEZa kwenda wakakusafisha meno yako vzuri ila km Upo DSM wanaitwa Dental care Clinic Solutiln. Km una bima ya NHIF na Pia Bima ya Stragies.
 
Niko mbali na inchi mkuu.
Mkoani tena

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Sisi kwa mfano watu wa Arusha maji yenye fluoride kwa wingi ndio chanzo cha rangi ya meno,na inaathiri mpaka mifupa.
Nenda clinic ya meno pale Njiro watakusaidia.
 
Kubaliana na matokeo maana hayo ni mavuno ya kutokujali afya ya meno yako, huko clinic wanaziba meno na unga fulani na yataonekana kwa nje kungara, baada ya miezi michache ya hiyo rangi inaisha tena safari hii yatakua kama sinki lililovubaa, kwa hiyo ni bora ukakubaliana na hali yako ya sasa hivi.

Nunua mswaki mzuri na uwe unaubadilisha kila baada ya siku tisini. tumia dawa ya meno ya Colgate.
 
Meno yenye afya yana rangi ya pale yellow.
Kulazima yawe meupe maana yake unayapunguzia uimara. Matokeo yake yatakuwa dhaifu, yatavunjika na kupata ganzi. Hutaweza kuyatumia vema kwenya kugrind na kucrush effectively.

Kuna kipindi nlikuwa nakunywa sana juice ya ubuyu na yakawa meupe(meno yakafa ganzi).sijajua kama ubuyu unasaidia.
 
Back
Top Bottom