Nawezaje kuondoa rangi kwenye meno na yakawa meupe kabisa?

Nawezaje kuondoa rangi kwenye meno na yakawa meupe kabisa?

Wapi hapo?
sehemu nyingi sana wanatoa hii huduma ila ninayoijua mimi ni ipo Sinza

bei tu zimetofautiana sehemu na sehemu,kulingna na namna watu wamejiweka

hii hawakwangui jino ni unaongezewa tu layer kwa juu yani its like meno yanapakwa rangi

after six month to 1 year unarudia tena na tena na tena mtindo n huo huo in yor lifetime.
 
Back
Top Bottom