Nawezaje kupakua (download) miziki Spotify nikiwa offline?

central midfielder

Senior Member
Joined
Apr 14, 2023
Posts
146
Reaction score
215
Wakuu msaada tafadhali,

Hivi hapa Spotify haina uwezo wa kudownload ngoma ukiwa offline u play kama audio mak? Hii imekaaje wakuu?
 
Inawezekana ila ukiwa na premium, 6900 kwa mwezi..ila hiyo trial huwezi..hata ku next nyimbo haikubali..
Kwahyo nikilipa hiyo naweza download ngoma kibaoo hata nikiwa offline nasikiliza bila shida? Au kuna kikomo.kwenye hizo ngoma? Yani uki download kazaa mwisho? Na vp niki log out ngoma zinapotea? Vp nikibadili simu nikija kulog in ngoma inatakiwa nianze upya? la.mwisho njia ya kulipia ni ipi mkuu? majibu tafadhali ndugu.
 
Unaweza ku download hata nyimbo zote zilizopo spotify, ndio maana ya ku download hata offline unaweza kusikiliza

ukilog out ukaenda kutumia simu nyingine huwezi kupata download contents,anza upya.

njia za kulipia zipo nyingi wenyewe wanakuandikia chagua moja
 
Eti nyimbo zote😆😆 Shukrani sana Kaka....Mana naiona iko njema aisee ni kama no1 platfom ya muziki ndio zingine zifuate
 
Pia kama wewe ni mwanafunzi kuna option ya kilipia as a student ina cost 3500Tsh per mwezi ambayo itadumu kwa muda wa miaka 4. Lakini utatakiwa ku renew kila mwaka kwa ku uplod same Docs (picha ya kitambulisho na taarifa watakazo kuuliza)
 
Back
Top Bottom