central midfielder
Senior Member
- Apr 14, 2023
- 146
- 215
Kwahyo nikilipa hiyo naweza download ngoma kibaoo hata nikiwa offline nasikiliza bila shida? Au kuna kikomo.kwenye hizo ngoma? Yani uki download kazaa mwisho? Na vp niki log out ngoma zinapotea? Vp nikibadili simu nikija kulog in ngoma inatakiwa nianze upya? la.mwisho njia ya kulipia ni ipi mkuu? majibu tafadhali ndugu.Inawezekana ila ukiwa na premium, 6900 kwa mwezi..ila hiyo trial huwezi..hata ku next nyimbo haikubali..
Unaweza ku download hata nyimbo zote zilizopo spotify, ndio maana ya ku download hata offline unaweza kusikilizaKwahyo nikilipa hiyo naweza download ngoma kibaoo hata nikiwa offline nasikiliza bila shida? Au kuna kikomo.kwenye hizo ngoma? Yani uki download kazaa mwisho? Na vp niki log out ngoma zinapotea? Vp nikibadili simu nikija kulog in ngoma inatakiwa nianze upya? la.mwisho njia ya kulipia ni ipi mkuu? majibu tafadhali ndugu.
Eti nyimbo zote😆😆 Shukrani sana Kaka....Mana naiona iko njema aisee ni kama no1 platfom ya muziki ndio zingine zifuateUnaweza ku download hata nyimbo zote zilizopo spotify, ndio maana ya ku download hata offline unaweza kusikiliza
ukilog out ukaenda kutumia simu nyingine huwezi kupata download contents,anza upya.
njia za kulipia zipo nyingi wenyewe wanakuandikia chagua moja
apple music 🔥Eti nyimbo zote😆😆 Shukrani sana Kaka....Mana naiona iko njema aisee ni kama no1 platfom ya muziki ndio zingine zifuate