R Rog chimera JF-Expert Member Joined Apr 28, 2018 Posts 398 Reaction score 706 Feb 10, 2024 #1 SALAAM wanajukwaa, Nahitaji kupata experience zenu wadau ambao mmewai kufika nchini afrika kusini ,je ni njia gani naweza kufanya nikifika SA kupata kazi kwa haraka. Kazi nnazotaka ni zile skilled jobs eg Doctors, Engineer, Mwalimu etc.
SALAAM wanajukwaa, Nahitaji kupata experience zenu wadau ambao mmewai kufika nchini afrika kusini ,je ni njia gani naweza kufanya nikifika SA kupata kazi kwa haraka. Kazi nnazotaka ni zile skilled jobs eg Doctors, Engineer, Mwalimu etc.
MrsPablo1 JF-Expert Member Joined Jun 9, 2013 Posts 1,073 Reaction score 1,941 Feb 10, 2024 #2 wanatafuta walimu wa kumfundisha kiswahili mashuleni
mzalendo namba moja JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 537 Reaction score 837 Feb 13, 2024 #3 Rog chimera said: SALAAM wanajukwaa, Nahitaji kupata experience zenu wadau ambao mmewai kufika nchini afrika kusini ,je ni njia gani naweza kufanya nikifika SA kupata kazi kwa haraka. Kazi nnazotaka ni zile skilled jobs eg Doctors, Engineer, Mwalimu etc. Click to expand... Nafikiri ni kupiga course kwanza, ukiwa na acertificate zao inakuwa utelezi.
Rog chimera said: SALAAM wanajukwaa, Nahitaji kupata experience zenu wadau ambao mmewai kufika nchini afrika kusini ,je ni njia gani naweza kufanya nikifika SA kupata kazi kwa haraka. Kazi nnazotaka ni zile skilled jobs eg Doctors, Engineer, Mwalimu etc. Click to expand... Nafikiri ni kupiga course kwanza, ukiwa na acertificate zao inakuwa utelezi.