Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
vpn ya Tanzania ndio ipi? isijekuwa vpn inamilikiwa na mtanzania lakini server zipo us. sababu ya copy rights dstv wanaruhusiwa kuonesha kusini mwa jangwa la sahara tu.Habari Ndugu nina Shida, Najaribu kutumia DSTV NOW ila inaniambia this Item is not available in your Region. Nimejaribu kutumia VPN ya Tanzania bila mafanikio. Nitumie njia gani ili niweze kuwa natazama DSTV now nikiwa Ughaibuni?. Asante.