Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
vpn ya Tanzania ndio ipi? isijekuwa vpn inamilikiwa na mtanzania lakini server zipo us. sababu ya copy rights dstv wanaruhusiwa kuonesha kusini mwa jangwa la sahara tu.Habari Ndugu nina Shida, Najaribu kutumia DSTV NOW ila inaniambia this Item is not available in your Region. Nimejaribu kutumia VPN ya Tanzania bila mafanikio. Nitumie njia gani ili niweze kuwa natazama DSTV now nikiwa Ughaibuni?. Asante.
nimeicheki mkuu kikawaida inafanya kazi, umetumia extension ya browser? jaribu kuiweka kwenye browser unayo access dstv nowInaitwa "Hola VPN" mkuu
Duh imegoma mzee, ninachofanikiwa ni kusign in tu. maana bila vpn hata kufunguka haitaki kabisa ila ninapotaka tu kuanza kuplay video inanipa ujumbe kuwa siwezi kuonanimeicheki mkuu kikawaida inafanya kazi, umetumia extension ya browser? jaribu kuiweka kwenye browser unayo access dstv now
Huko uko uswahilini hamia maeneo ya kueleweka utaipataNimejaribu mzee nimechemka, nafanikiwa hadi kusign in ila kwenye kuplay video naletewa ujumbe kuwa siwezi kupata huduma hiyo sababu nipo nje ya eneo
Ulaya hii ya mbozi mbeya!!!!Habari Ndugu nina Shida, Najaribu kutumia DSTV NOW ila inaniambia this Item is not available in your Region. Nimejaribu kutumia VPN ya Tanzania bila mafanikio. Nitumie njia gani ili niweze kuwa natazama DSTV now nikiwa Ughaibuni?. Asante.