Nawezaje kupata jezi za Yanga Jijini Dodoma?

Nawezaje kupata jezi za Yanga Jijini Dodoma?

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Wakuu salamu,

Wakuu nitakuwa Dodoma Siku ya Leo na kesho pia. Je, naweza kupata wapi jezi za Yanga za msimu huu?

Zilizozinduliwa Jana.
 
Wakuu salamu,

Wakuu nitakuwa Dodoma Siku ya Leo na kesho pia. Je, naweza kupata wapi jezi za Yanga za msimu huu? Zilizozinduliwa Jana.
Eng. amesema sogea hapo maduka ya GSM.

Pia amesema mzigo wa jezi Milion 5 umeondoka Dar leo asbh kwenda mikoani.
 
Vichupi fc mnatema mate tu hali tete.
Subirieni vunja bei awavunje mbavu.
Na zile jezi za buku tatu tatu siyo! Hizo hata kwa wamachinga unazipata tu fresh!! siyo lazima uende kwa huyo Vunja bei nani sijui. Tena zinapatikana zikiwa na majina kabisa ya Babu Onyango, Babu Kagere, Babu Nyoni, Babu Boko, nk.

Ila kwa upande wa jezi za Wananchi, siku zote unapata kitu OG!!! Ni 🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom