zeus47
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 233
- 307
Habarini wakuu, mimi nilimaliza driving school miaka ya nyuma kidogo na muda wote huo nilikuwa nimeenda nje kimasoml. Hatimaye nimerudi rasmi na ni muda muafaka wa kuwa na leseni. Bahati mbaya shule yangu ya driving imefungwa kwa hiyo sikuweza kupata cheti changu cha mafunzo. Kama kuna mtu anaweza kunisaidia nipate leseni naomba tuwasiliane. Asante sana