Nawezaje kupata michango yangu yote NSSF? Kikwazo 33℅

Sikukatishi tamaa Ila kwa mazingira ya Sasa huwezi pata zote mkuu
 
Kwa hiyo 1,400,000 iliobaki ndio haupati tena?
Na ikitokea umeshajitoa baada ya mda fulani ukapata kazi ya professional yako unaanza upya kujiunga tena?
 
Kwa hiyo 1,400,000 iliobaki ndio haupati tena?
Na ikitokea umeshajitoa baada ya mda fulani ukapata kazi ya professional yako unaanza upya kujiunga tena?
Ndio hupati tena.
Ukipata kazi tena michango inaanza kwa kutumia namba yako ya zamani
 
Acha uongo,no reasearch no right to speak.
 
Duh
 
Tafuta kazi ya ulinzi, au yoyote isipokuwa ya kitaaluma inayopeleka michango yako NSSF.

Fanya kazi miezi 3 au 6 then tengeneza Mazingira ya kuachishwa kazi.

Utapata michango yako yote
Still hawezi kupata zote mzee.. nimelifwatilia hili na kuliulizia kwenye ofisi za NSSF more than twice wanasema hawaangalii kazi uliokua unaifanya wanachoangalia ni level ya elimu yako
 
Ulipata hela zote wakati gani coz io mambo ya 33.3% walianza kuitumia toka tarehe 1 July 2022
 
Still hawezi kupata zote mzee.. nimelifwatilia hili na kuliulizia kwenye ofisi za NSSF more than twice wanasema hawaangalii kazi uliokua unaifanya wanachoangalia ni level ya elimu yako
Documents gani ya Elimu unayoiweka kama attachment wakati wa kudai mafao NSSF?

Au kwenda kuwaambia Elimu yako ni shobo zako tu.

Siku ZOTE NSSF wanataka pesa zibaki kwao, wasitoe kitu. Kwahiyo ukiwapa mwanya wa sababu hawakupi.
 
Hakuna document yoyote ya level ya elimu ambayo unaambatanisha kupeleka NSSF wadai hua wanawasiliana na muajiri na wanafanya investigation kuhusu level ya elimu. Na mimi ni muhanga wa io 33.3% na niliwauliza maswali kuhusu io na majibu ya jinsi gani wanatambua level ya elimu ya mtu ilinitia mashaka kidogo alafu pia kwani kwenye ile form ya awali ya kuomba uanachama si kuna sehemu unajaza level ya elimu?
 
Ok sawa level ya elimu lakini kazi umepata ya kibarua licha ya kusoma degree ya uhasibu
 
Huwezi kupata mpaka hiyo miezi 18,ungekuwa uliajiriwa kama UNSKILLED (KIBARUA)ungepata, lakini kwa kuwa ni graduate NSSF wanaamini utapata kazi nyingine na kuendelea kuchangia hivyo HAWAKUPI
Hapana , mimi niliacha kazi lakini nikaongea na HR afanye mkataba umeisha nilipewa pesa zote, kama mafao yakukosa ajira
 
Njoo dm nikuelekeze
 
njoo temboni changia ujenxi wa ngome ya YESU Uone
 
Still hawezi kupata zote mzee.. nimelifwatilia hili na kuliulizia kwenye ofisi za NSSF more than twice wanasema hawaangalii kazi uliokua unaifanya wanachoangalia ni level ya elimu yako
Tatizo lenu nyie humu ni wabishi.Pesa yote watu wanachukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…