Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Hata wazungu wanaojiuza wapo mitandaoniNipo zanzibar kwasasa naweza kutumia njia gani kuwapata nimetumia tinder naona namatch na mala ya a wa kibongo wanaojiuza
Matusi sijibu
Naomba tumia busara kunijibu
Mimi Nina shahada yangu safi TU.
Nina a lot of busines idea.
Ila changamoto kubwa ni mtaji
Naona watu wengi wametoka kupitia haya majimama ya kizungu
Baada ya penzi kunoga naweza kupata mtaji na kutoboa
Nipo zanzibar kwasasa naweza kutumia njia gani kuwapata nimetumia tinder naona namatch na mala ya a wa kibongo wanaojiuza
Matusi sijibu
Karikoo wapoHata wazungu wanaojiuza wapo mitandaoni
Hadi wachina wanaojiuza kariakoo wapoKarikoo wapo
Hadi wachina wanaojiuza kariakoo wapo
Sahihi kabisaJitahid usiwe shoga tu unakoelekea mana watu ka nyie mtu akija kukupa milion 20 au 50 huchelew kutoa masega
Another innocent neck carrying a rotten pumpkin headπNaomba tumia busara kunijibu
Mimi Nina shahada yangu safi TU.
Nina a lot of busines idea.
Ila changamoto kubwa ni mtaji
Naona watu wengi wametoka kupitia haya majimama ya kizungu
Baada ya penzi kunoga naweza kupata mtaji na kutoboa
Nipo zanzibar kwasasa naweza kutumia njia gani kuwapata nimetumia tinder naona namatch na mala ya a wa kibongo wanaojiuza
Matusi sijibu
We unayo mingapi mpaka sasa?KULA VIZURI,JENGA MWILI UWE NA KIFUA KIPANA, SIX PACKS NA ONGEZA UNENE NA UREFU WA MSHEDEDE....ANZA KUPOST PICHA INSTAGRAM(ZIWE KALI)
MWEZI MMOJA DM YAKO IMEJAA MISHANGAZI YENYE HERA
Haha haha hahaJitahid usiwe shoga tu unakoelekea mana watu ka nyie mtu akija kukupa milion 20 au 50 huchelew kutoa masega
Ni kweliUkiwa na matamanio ya hivyo,unakuwa vulnerable kitu ambacho ni hatari sana.Kanuni za kupata mtaji kwa ajili ya kufanikisha mpango wako zipo wazi tafuta kazi fanya saving.Vilevile,tafuta marafiki ndugu au jamaa wakupe support.
Kupata mwanamke wa kizungu mwenye pesa ni bahati kama ilivyo ndoto ya kila mwanamke kuolewa na mwanaume mwenye pesa but wachache wanapata bahati hiyo.