Nawezaje kupata nafasi ya kuhamia UDOM?

Nawezaje kupata nafasi ya kuhamia UDOM?

Bullbuddy

New Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
3
Reaction score
3
Wakuu habari?

Nina mdogo wangu anasoma diploma in pharmaceutical sciences chuo kimoja Cha private hapa Mwanza,

Amemaliza First year mwezi huu anaenda Second year nilihitaji kujua process za kufanya Ili kupata nafasi ya kuhamia UDOM dogo Yuko vzr Kwa case ya matokeo ya mwaka
Au mwenye kunisaidia kupata nafasi pale UDOM nisaidie wakuu 🙏
 
nahisi aiwezekani sababu diploma ya pharmacy kwa udom ipo under tcu na kwenye vyuo vingine hivyo ipo under nactvet
 
Back
Top Bottom