DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
Habari wakuu.
Naomba kufahamu ni utaratibu gani wa kufuata ili kupata Tender ya kazi ndogo ndogo kwenye mradi wa SGR. mfano kama kufanya landscape na kuotesha ukoka kule pembeni(Garden).
naomba mwenye ufahamu aniambie maana naona kuna Company kibao zinafanya kule kazi kama sub contractors. Ila Main contractor ni hawa jamaa wa YAP Merkez.
Natanguliza Shukrani
23 AGOST 2022 Tujitokeze kuhesabiwa