Democrasia
Member
- Feb 1, 2008
- 79
- 3
Wadau wote huku jamvini, poleni na kazi nzito mlizonazo haswa za kuelimisha watu.
Jamani wadau naombeni mnipe process za kupata TIC Certificate.
Kuna rafiki yangu kaniamdikia sms kunitaka nifanye juu chini niwe nayo.
Naombeni msaada wenu wadau
Jamani wadau naombeni mnipe process za kupata TIC Certificate.
Kuna rafiki yangu kaniamdikia sms kunitaka nifanye juu chini niwe nayo.
Naombeni msaada wenu wadau