Nawezaje kupata updates za matukio yajayo Tanzania?

Explainer

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2015
Posts
517
Reaction score
506
Habari. Kwa wenye kujua ni namna gani ya kupata ratiba za matukio kama matamasha, makongamano, na events mbalimbali zinazohusiana na maswala yote ya sanaa na utamaduni, matukio mfano wa mbio za marathon, uchangiaji damu, n.k

Msaada wenu wakuu, kwa wenye kujua njia za kufahamu ratiba za matukio kama hayo mapema zaidi. Ahsante.
 
Enhee,unaitumiaje labda? Mfano Mimi nataka niwe najua miradi mikubwa ya serikali hata ya 20 yrs from now iyakayojengwa ili niwe naegesha kamradi kangu wakinipitia wananilipa nahama.....ili nami nifaidi hela ya mikopo ya nje ambayo inaishia kwa mafisadi.
Hii kaa karibu na watu wa ofisi za halmashauri
 
Habari. Kwa wenye kujua ni namna gani ya kupata ratiba za matukio kama matamasha, makongamano, na events mbalimbali zinazohusiana na maswala yote ya sanaa na utamaduni, matukio mfano wa mbio za marathon, uchangiaji damu, n.k

Msaada wenu wakuu, kwa wenye kujua njia za kufahamu ratiba za matukio kama hayo mapema zaidi. Ahsante.
Mtafute GODBLESS LEMA
 
Enhee,unaitumiaje labda? Mfano Mimi nataka niwe najua miradi mikubwa ya serikali hata ya 20 yrs from now iyakayojengwa ili niwe naegesha kamradi kangu wakinipitia wananilipa nahama.....ili nami nifaidi hela ya mikopo ya nje ambayo inaishia kwa mafisadi.
Haya mawazo yako haya.... lakini kwa upande mwingine umajaribu kuona fursa😁😁
 
Back
Top Bottom