Enhee,unaitumiaje labda? Mfano Mimi nataka niwe najua miradi mikubwa ya serikali hata ya 20 yrs from now iyakayojengwa ili niwe naegesha kamradi kangu wakinipitia wananilipa nahama.....ili nami nifaidi hela ya mikopo ya nje ambayo inaishia kwa mafisadi.Tumia Chatgpt
Hii kaa karibu na watu wa ofisi za halmashauriEnhee,unaitumiaje labda? Mfano Mimi nataka niwe najua miradi mikubwa ya serikali hata ya 20 yrs from now iyakayojengwa ili niwe naegesha kamradi kangu wakinipitia wananilipa nahama.....ili nami nifaidi hela ya mikopo ya nje ambayo inaishia kwa mafisadi.
Mtafute GODBLESS LEMAHabari. Kwa wenye kujua ni namna gani ya kupata ratiba za matukio kama matamasha, makongamano, na events mbalimbali zinazohusiana na maswala yote ya sanaa na utamaduni, matukio mfano wa mbio za marathon, uchangiaji damu, n.k
Msaada wenu wakuu, kwa wenye kujua njia za kufahamu ratiba za matukio kama hayo mapema zaidi. Ahsante.
Haya mawazo yako haya.... lakini kwa upande mwingine umajaribu kuona fursa😁😁Enhee,unaitumiaje labda? Mfano Mimi nataka niwe najua miradi mikubwa ya serikali hata ya 20 yrs from now iyakayojengwa ili niwe naegesha kamradi kangu wakinipitia wananilipa nahama.....ili nami nifaidi hela ya mikopo ya nje ambayo inaishia kwa mafisadi.