UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,314
Hahahaha acha tu ndugu yangu. Nasikia bwana magu atakuwepo hadi twenty five. Dah !Unataka ukimbie mkuu,ugumu wa huku unataka umuachie nani?
Hahahaha
Mm mkubwa. Nafuata taratibu zipi hasa.Kam una umri mkubwa fuata taratibu ila kama wewe mdogo rahisi tu.
Jichanganye kaa miaka miwili wa tatu dai documents unazipata.
Za uhamiaji kama zilivyo nchi zingine...Mm mkubwa. Nafuata taratibu zipi hasa.
Thread is closed ! Hiki ndiko nilikuwa nakitaka.Za uhamiaji kama zilivyo nchi zingine...
Aidha uoe tena kwa kenya ndoa isiwe chini ya miaka saba
Au
Wa kuishi uwe umeishi miaka saba na zaidi.
Kuna Watanzania ni wakenya bado ni Watanzania... Wakiwa kenya wana ID za kenya wakiwa Tanzania wanafahamika ni Watanzania wengi naowajua walienda kenya wakiwa wadogo.
Za uhamiaji kama zilivyo nchi zingine...
Aidha uoe tena kwa kenya ndoa isiwe chini ya miaka saba
Au
Wa kuishi uwe umeishi miaka saba na zaidi.
Kuna Watanzania ni wakenya bado ni Watanzania... Wakiwa kenya wana ID za kenya wakiwa Tanzania wanafahamika ni Watanzania wengi naowajua walienda kenya wakiwa wadogo.
Nakuja huko mkuu. Bongo bahati mbaya sanaHii hunishangaza, kunao jamaa huku Watanzania wenye vitambulisho vya Kenya kabisa, wengine hata wamejenga majengo makubwa makubwa. Huwa nafurahi sana jinsi nchi yangu hukaribisha wageni ilmradi hawazui fujo.
Magu na DABMnataka muondoke hii nchi mtamwachia nani[emoji23]
Nakuja huko mkuu. Bongo bahati mbaya sana
Tatizo mm unafiki siwezi baba. Ndo maana mm naona ndugu zangu wakenya coz twaweza kupeana makavu live na kila akapambane na hali yake. Sasa huku kitu kidogo tu nissan nyeupe dah !Pambana huko huko kitaeleweka, ilmradi humjaribu Magu yeye hana shida nawe, piga kazi yako bila kujihusisha na siasa wala nini, mbona tukija huko tunatengeneza hela zetu. Huwa tunatulia kimya kama maji kwenye kidumu au mtungi, tunamsifia sifia Magu maana anapenda sifa, basi tunaachwa kupiga misele bila usumbufu, juzi hukuona Prof. Lumumba alivyohutubia misifa ya Magu.
Kweli hawa wapo tena Narok ndipo wapo wengi hasa maasai...maasai sisi leo naweza kuwa Mtanzania kesho Mkenya.Hii hunishangaza, kunao jamaa huku Watanzania wenye vitambulisho vya Kenya kabisa, wengine hata wamejenga majengo makubwa makubwa. Huwa nafurahi sana jinsi nchi yangu hukaribisha wageni ilmradi hawazui fujo.
Usikimbie mkuu, Tanzania ya viwonder inahitaji mchango wakoWasalaam wakenya mabibi na mabwana !
Naomba maelekezo namna nzuri ya kupata uraia wa Kenya !
Natanguliza shukrani.
Dah ....Usikimbie mkuu, Tanzania ya viwonder inahitaji mchango wako
Kilichosababisha wakapata huo uraia sio kwa sababu hawakuzua fujo, ni kwa sababu walifuata taratibu zote za uhamiaji.Hii hunishangaza, kunao jamaa huku Watanzania wenye vitambulisho vya Kenya kabisa, wengine hata wamejenga majengo makubwa makubwa. Huwa nafurahi sana jinsi nchi yangu hukaribisha wageni ilmradi hawazui fujo.
Wewe unaishia kusema bongo bahati mbaya, wakati wakenya ambao unataka kwenda kwenye nchi yao wao wanakuja huku kutafuta hela!Nakuja huko mkuu. Bongo bahati mbaya sana