Nawezaje kupata uraia wa Kenya ?

Nawezaje kupata uraia wa Kenya ?

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
2,326
Reaction score
1,314
Wasalaam wakenya mabibi na mabwana !

Naomba maelekezo namna nzuri ya kupata uraia wa Kenya !

Natanguliza shukrani.
 
Kam una umri mkubwa fuata taratibu ila kama wewe mdogo rahisi tu.

Jichanganye kaa miaka miwili wa tatu dai documents unazipata.
Mm mkubwa. Nafuata taratibu zipi hasa.
 
Mm mkubwa. Nafuata taratibu zipi hasa.
Za uhamiaji kama zilivyo nchi zingine...

Aidha uoe tena kwa kenya ndoa isiwe chini ya miaka saba

Au
Wa kuishi uwe umeishi miaka saba na zaidi.

Kuna Watanzania ni wakenya bado ni Watanzania... Wakiwa kenya wana ID za kenya wakiwa Tanzania wanafahamika ni Watanzania wengi naowajua walienda kenya wakiwa wadogo.
 
Thread is closed ! Hiki ndiko nilikuwa nakitaka.
 
Za uhamiaji kama zilivyo nchi zingine...

Aidha uoe tena kwa kenya ndoa isiwe chini ya miaka saba

Au
Wa kuishi uwe umeishi miaka saba na zaidi.

Kuna Watanzania ni wakenya bado ni Watanzania... Wakiwa kenya wana ID za kenya wakiwa Tanzania wanafahamika ni Watanzania wengi naowajua walienda kenya wakiwa wadogo.

Hii hunishangaza, kunao jamaa huku Watanzania wenye vitambulisho vya Kenya kabisa, wengine hata wamejenga majengo makubwa makubwa. Huwa nafurahi sana jinsi nchi yangu hukaribisha wageni ilmradi hawazui fujo.
 
Nakuja huko mkuu. Bongo bahati mbaya sana
 
Pambana huko huko kitaeleweka, ilmradi humjaribu Magu yeye hana shida nawe, piga kazi yako bila kujihusisha na siasa wala nini, mbona tukija huko tunatengeneza hela zetu. Huwa tunatulia kimya kama maji kwenye kidumu au mtungi, tunamsifia sifia Magu maana anapenda sifa, basi tunaachwa kupiga misele bila usumbufu, juzi hukuona Prof. Lumumba alivyohutubia misifa ya Magu.
 
Tatizo mm unafiki siwezi baba. Ndo maana mm naona ndugu zangu wakenya coz twaweza kupeana makavu live na kila akapambane na hali yake. Sasa huku kitu kidogo tu nissan nyeupe dah !
 
Hii hunishangaza, kunao jamaa huku Watanzania wenye vitambulisho vya Kenya kabisa, wengine hata wamejenga majengo makubwa makubwa. Huwa nafurahi sana jinsi nchi yangu hukaribisha wageni ilmradi hawazui fujo.
Kweli hawa wapo tena Narok ndipo wapo wengi hasa maasai...maasai sisi leo naweza kuwa Mtanzania kesho Mkenya.

Nchi zetu bado hazijaweza kuminya hili suala. Hapo TZ miaka kama miwili iliyopita ulikuwa ukienda kuchukua tu birth certifacate unaulizwa umezaliwa wapi nani anaweza kuthibitisha unatoa pesa umepewa.

Hii ni njia rahisi ambayo yeyote yule anaweza kuchukua cheti.
 
Dah...mwenzio nahangaika hapa kupata uraia wa Tanzania kwani ndipo hasa nilipozaliwa ila nimeishi Kenya tangu utotoni na uraia wa Kenya ninao kabisa ila natamani nirejee nyumbani nipange mambo yangu.!
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Hii hunishangaza, kunao jamaa huku Watanzania wenye vitambulisho vya Kenya kabisa, wengine hata wamejenga majengo makubwa makubwa. Huwa nafurahi sana jinsi nchi yangu hukaribisha wageni ilmradi hawazui fujo.
Kilichosababisha wakapata huo uraia sio kwa sababu hawakuzua fujo, ni kwa sababu walifuata taratibu zote za uhamiaji.
 
Nakuja huko mkuu. Bongo bahati mbaya sana
Wewe unaishia kusema bongo bahati mbaya, wakati wakenya ambao unataka kwenda kwenye nchi yao wao wanakuja huku kutafuta hela!

Kama unadhani bongo ni bahati mbaya kenya ndo huwezi kufanya lolote. Utaishia kuwa ombaomba
 
Back
Top Bottom