kidambinya
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 1,177
- 1,721
Wasalaam wakenya mabibi na mabwana !
Naomba maelekezo namna nzuri ya kupata uraia wa Kenya !
Natanguliza shukrani.
Wewe unaishia kusema bongo bahati mbaya, wakati wakenya ambao unataka kwenda kwenye nchi yao wao wanakuja huku kutafuta hela!
Kama unadhani bongo ni bahati mbaya kenya ndo huwezi kufanya lolote. Utaishia kuwa ombaomba
Ohooooo! At leat leo umekiri kwa kinywa chako kuwa wabongo wanaofanya biashara hapo nai wametapakaa! Hili huwa tunawaambia hapa daily mnabisha mpaka misuri inawakakamaa eti ooh Tanzanians are lazy!Propaganda peleka Uganda!
Kwani si kuna watz wengi na wageni wengine tu huku wanafanya hela? Gikomba market na Kenyatta Market ni kama mitaa ya wabongo hivi, majumba na biashara na magari wanamiliki.
Ukihamia Kenya ama taifa lolote lile bila mipango mwafaka ya jinsi utakavyoendesha maisha yako huko utaishia tu hivo kuhangaika.
Ohooooo! At leat leo umekiri kwa kinywa chako kuwa wabongo wanaofanya biashara hapo nai wametapakaa! Hili huwa tunawaambia hapa daily mnabisha mpaka misuri inawakakamaa eti ooh Tanzanians are lazy!
Nadhani sasa heshima inakuja!
Upo Kenya mkuu? Maana hii hoja yakoWewe unaishia kusema bongo bahati mbaya, wakati wakenya ambao unataka kwenda kwenye nchi yao wao wanakuja huku kutafuta hela!
Kama unadhani bongo ni bahati mbaya kenya ndo huwezi kufanya lolote. Utaishia kuwa ombaomba
Ingekuwa ni kazi mngebadilishana vituo 🙂Dah...mwenzio nahangaika hapa kupata uraia wa Tanzania kwani ndipo hasa nilipozaliwa ila nimeishi Kenya tangu utotoni na uraia wa Kenya ninao kabisa ila natamani nirejee nyumbani nipange mambo yangu.!
Kwahiyo kwa upeo wako hao watu wa Arusha na Kilimanjaro siyo Watanzania au labda sijakuelewa vizuri?Watanzania wa kutokea Arusha na Kilimanjaro ni wachapa kazi na ndio wanapiga misele huku.
Lakini wale omba omba wametokea mikoa ya huko kwengine
Unatokea Inchi gani?Wasalaam wakenya mabibi na mabwana !
Naomba maelekezo namna nzuri ya kupata uraia wa Kenya !
Natanguliza shukrani.
Kwahiyo kwa upeo wako hao watu wa Arusha na Kilimanjaro siyo Watanzania au labda sijakuelewa vizuri?
Kama vp tubadilishaneDah...mwenzio nahangaika hapa kupata uraia wa Tanzania kwani ndipo hasa nilipozaliwa ila nimeishi Kenya tangu utotoni na uraia wa Kenya ninao kabisa ila natamani nirejee nyumbani nipange mambo yangu.!
Ndo maana nataka kurudi home ndugu zangu nimebaini wapo Kenya hasa NairobiHao walikua wetu mzungu akatunyan'ganya pale alipochukua Kilimanjaro.
Kwanza kawagawa Wamaasai wetu sasa mumeishia kukamata n'gombe na kutia viberiti vifaranga wa kuku.
Wewe ni mkenya?Nenda ingia Kenya kwa uhalali kabisa pale mpakani. Ukiisha ingia, usikae mujini. Nenda ushagoo, tafuta bibi muzuri ya Kikikuyu au Kalenjin. Oa haraka, zaa naye. Apana kufika mujini kwa miaka 3. Tiyari wewe ni Mukenya. Very simple. Achana na kabila singine
Kabisa umejibu vizuriii.hata mi ni mtanzania japo nimesoma kule na kukulia kule.Za uhamiaji kama zilivyo nchi zingine...
Aidha uoe tena kwa kenya ndoa isiwe chini ya miaka saba
Au
Wa kuishi uwe umeishi miaka saba na zaidi.
Kuna Watanzania ni wakenya bado ni Watanzania... Wakiwa kenya wana ID za kenya wakiwa Tanzania wanafahamika ni Watanzania wengi naowajua walienda kenya wakiwa wadogo.
Acha kuishi kwenye dunia yako buda. 🙂Hao walikua wetu mzungu akatunyan'ganya pale alipochukua Kilimanjaro.
Kwanza kawagawa Wamaasai wetu sasa mumeishia kukamata n'gombe na kutia viberiti vifaranga wa kuku.
Wewe ni mkenya?
Kitu unachotakiwa kuepuka ni kuanza kutugawa utanzania wetu kwa kuanza kusema hawa ni wa arusha/Kilimanjaro na hawa ni wa kwingineko, baada ya hapo utaanza kusema hawa ni wachaga na wale ni wazanaki!Watanzania wa kutokea Arusha na Kilimanjaro ni wachapa kazi na ndio wanapiga misele huku.
Lakini wale omba omba wametokea mikoa ya huko kwengine