Nawezaje kupata uraia wa Kenya ?

Nawezaje kupata uraia wa Kenya ?

Wewe unaishia kusema bongo bahati mbaya, wakati wakenya ambao unataka kwenda kwenye nchi yao wao wanakuja huku kutafuta hela!

Kama unadhani bongo ni bahati mbaya kenya ndo huwezi kufanya lolote. Utaishia kuwa ombaomba

Propaganda peleka Uganda!
Kwani si kuna watz wengi na wageni wengine tu huku wanafanya hela? Gikomba market na Kenyatta Market ni kama mitaa ya wabongo hivi, majumba na biashara na magari wanamiliki.

Ukihamia Kenya ama taifa lolote lile bila mipango mwafaka ya jinsi utakavyoendesha maisha yako huko utaishia tu hivo kuhangaika.
 
Ohooooo! At leat leo umekiri kwa kinywa chako kuwa wabongo wanaofanya biashara hapo nai wametapakaa! Hili huwa tunawaambia hapa daily mnabisha mpaka misuri inawakakamaa eti ooh Tanzanians are lazy!

Nadhani sasa heshima inakuja!
 
Watanzania wa kutokea Arusha na Kilimanjaro ni wachapa kazi na ndio wanapiga misele huku.
Lakini wale omba omba wametokea mikoa ya huko kwengine
 
Wewe unaishia kusema bongo bahati mbaya, wakati wakenya ambao unataka kwenda kwenye nchi yao wao wanakuja huku kutafuta hela!

Kama unadhani bongo ni bahati mbaya kenya ndo huwezi kufanya lolote. Utaishia kuwa ombaomba
Upo Kenya mkuu? Maana hii hoja yako
 
Dah...mwenzio nahangaika hapa kupata uraia wa Tanzania kwani ndipo hasa nilipozaliwa ila nimeishi Kenya tangu utotoni na uraia wa Kenya ninao kabisa ila natamani nirejee nyumbani nipange mambo yangu.!
Ingekuwa ni kazi mngebadilishana vituo 🙂
 
Watanzania wa kutokea Arusha na Kilimanjaro ni wachapa kazi na ndio wanapiga misele huku.
Lakini wale omba omba wametokea mikoa ya huko kwengine
Kwahiyo kwa upeo wako hao watu wa Arusha na Kilimanjaro siyo Watanzania au labda sijakuelewa vizuri?
 
Hao walikua wetu mzungu akatunyan'ganya pale alipochukua Kilimanjaro.
Kwanza kawagawa Wamaasai wetu sasa mumeishia kukamata n'gombe na kutia viberiti vifaranga wa kuku.
 
Dah...mwenzio nahangaika hapa kupata uraia wa Tanzania kwani ndipo hasa nilipozaliwa ila nimeishi Kenya tangu utotoni na uraia wa Kenya ninao kabisa ila natamani nirejee nyumbani nipange mambo yangu.!
Kama vp tubadilishane
 
Hao walikua wetu mzungu akatunyan'ganya pale alipochukua Kilimanjaro.
Kwanza kawagawa Wamaasai wetu sasa mumeishia kukamata n'gombe na kutia viberiti vifaranga wa kuku.
Ndo maana nataka kurudi home ndugu zangu nimebaini wapo Kenya hasa Nairobi
 
Nenda ingia Kenya kwa uhalali kabisa pale mpakani. Ukiisha ingia, usikae mujini. Nenda ushagoo, tafuta bibi muzuri ya Kikikuyu au Kalenjin. Oa haraka, zaa naye. Apana kufika mujini kwa miaka 3. Tiyari wewe ni Mukenya. Very simple. Achana na kabila singine
Wewe ni mkenya?
 
Za uhamiaji kama zilivyo nchi zingine...

Aidha uoe tena kwa kenya ndoa isiwe chini ya miaka saba

Au
Wa kuishi uwe umeishi miaka saba na zaidi.

Kuna Watanzania ni wakenya bado ni Watanzania... Wakiwa kenya wana ID za kenya wakiwa Tanzania wanafahamika ni Watanzania wengi naowajua walienda kenya wakiwa wadogo.
Kabisa umejibu vizuriii.hata mi ni mtanzania japo nimesoma kule na kukulia kule.
 
Hao walikua wetu mzungu akatunyan'ganya pale alipochukua Kilimanjaro.
Kwanza kawagawa Wamaasai wetu sasa mumeishia kukamata n'gombe na kutia viberiti vifaranga wa kuku.
Acha kuishi kwenye dunia yako buda. 🙂
 
Watanzania wa kutokea Arusha na Kilimanjaro ni wachapa kazi na ndio wanapiga misele huku.
Lakini wale omba omba wametokea mikoa ya huko kwengine
Kitu unachotakiwa kuepuka ni kuanza kutugawa utanzania wetu kwa kuanza kusema hawa ni wa arusha/Kilimanjaro na hawa ni wa kwingineko, baada ya hapo utaanza kusema hawa ni wachaga na wale ni wazanaki!

Inatosha sana kutujumuisha pamoja kama watanzania.

Kingine, sio kila mtu anafanya biashara, au wote wanaofanya basi lazima waje kenya ndio ujue wanajishughulisha.

Halafu unalalama hapa, hebu tuangalie hali ya maisha ya mwananchi wa kawaida kwenye vijiji vyetu kati ya kenya na tz. We mwenyewe unajua dhahili hali ya maisha kwa wananchi wa tanzania ni nzuri zaidi ya ile ya wakenya. Sasa kama ulasema eti ni wazembe, unafuu huo wa maisha unatoka wapi, na hao wakenya wenye bidii hali yao ngumu ya maisha inatokana na nini?

Ulivyo utakimbilia ukame
 
Back
Top Bottom