Hapana, naenda kule occasionallyUpo Kenya mkuu? Maana hii hoja yako
Bora sisi vifaranga vifaranga havikuwa na vielelezo kuwa vinatoka wapi.Hao walikua wetu mzungu akatunyan'ganya pale alipochukua Kilimanjaro.
Kwanza kawagawa Wamaasai wetu sasa mumeishia kukamata n'gombe na kutia viberiti vifaranga wa kuku.
Ohooooo! At leat leo umekiri kwa kinywa chako kuwa wabongo wanaofanya biashara hapo nai wametapakaa! Hili huwa tunawaambia hapa daily mnabisha mpaka misuri inawakakamaa eti ooh Tanzanians are lazy!
Nadhani sasa heshima inakuja!
Unaweza usiwe wewe, ila wapo baadhi hulibishia hili. Nikipata muda ntapitia nyuzi za huko nyuma nikuonesheBalaa! Ni lini tumewahi kubisha kuwepo kwa watz wachapa kazi Kenya? Watz wapo wengi tu maeneo mengi tu huku wakijihusisha katika ujenzi wa taifa letu na kwao pia, hawa tunawajaribisha kwa dhati.
Nyinyi mandugu zetu hatuna nyongo nanyinyi.
Nyote mwakaribishwa, bora msije huku kuombaomba au kuuza uchawi.
Naona ni bora uache ukabilaNdiyo waonaje??
Naona ni bora uache ukabila
Kufanya nn kwenye njaa?Wasalaam wakenya mabibi na mabwana !
Naomba maelekezo namna nzuri ya kupata uraia wa Kenya !
Natanguliza shukrani.
Duuuuuu at least nimo kundi la wachapa kaziWatanzania wa kutokea Arusha na Kilimanjaro ni wachapa kazi na ndio wanapiga misele huku.
Lakini wale omba omba wametokea mikoa ya huko kwengine
Kama yanga na simba tu yaankuna nini kati ya inch izi mbili kua na ushindani wa ki uraia, yani mtz ajifananishi na mtu mwengne ispo kua mkenya na mkenya hujiona wa juu kwa kujifananisha na mtz ,hii ina tokana na nini ?
Sure !It is a very desirable thing to belong to two countries ukiwa ulizaliwa mpakani na geografia wafahamu vizuri. I envy those born kwa borders
Ni ushindani tu wa kikanda. Kenya na Tanzania ndizo nchi zilizoendelea na zenye uchumi kubwa zaidi eneo hili, hivi zinang'ang'ania kuwa na ushawishi mkubwa zaidi kanda hili.kuna nini kati ya inch izi mbili kua na ushindani wa ki uraia, yani mtz ajifananishi na mtu mwengne ispo kua mkenya na mkenya hujiona wa juu kwa kujifananisha na mtz ,hii ina tokana na nini ?
Uraia wa kenya??yaani katika nchi zote umeona bora ukawe mkora na mkabila?Wasalaam wakenya mabibi na mabwana !
Naomba maelekezo namna nzuri ya kupata uraia wa Kenya !
Natanguliza shukrani.
Wasalaam wakenya mabibi na mabwana !
Naomba maelekezo namna nzuri ya kupata uraia wa Kenya !
Natanguliza shukrani.