Nawezaje kupata uraia wa Kenya ?

Nawezaje kupata uraia wa Kenya ?

Hao walikua wetu mzungu akatunyan'ganya pale alipochukua Kilimanjaro.
Kwanza kawagawa Wamaasai wetu sasa mumeishia kukamata n'gombe na kutia viberiti vifaranga wa kuku.
Bora sisi vifaranga vifaranga havikuwa na vielelezo kuwa vinatoka wapi.

Sasa nyie hapo majirani zetu mmeua ng'ombe wa wananchi wenu, kwa kutumia bunduki za serikali na askari wenu mnaowalipa mshahara kutoka kwenye makusanyo ya kodi yenu!
 
Ohooooo! At leat leo umekiri kwa kinywa chako kuwa wabongo wanaofanya biashara hapo nai wametapakaa! Hili huwa tunawaambia hapa daily mnabisha mpaka misuri inawakakamaa eti ooh Tanzanians are lazy!

Nadhani sasa heshima inakuja!

Balaa! Ni lini tumewahi kubisha kuwepo kwa watz wachapa kazi Kenya? Watz wapo wengi maeneo mengi tu huku wakijihusisha katika ujenzi wa taifa letu na kwao pia, hawa tunawakaribisha kwa dhati.
Nyinyi mandugu zetu hatuna nyongo nanyinyi.

Nyote mwakaribishwa, bora msije huku kuombaomba au kuuza uchawi.
 
Balaa! Ni lini tumewahi kubisha kuwepo kwa watz wachapa kazi Kenya? Watz wapo wengi tu maeneo mengi tu huku wakijihusisha katika ujenzi wa taifa letu na kwao pia, hawa tunawajaribisha kwa dhati.
Nyinyi mandugu zetu hatuna nyongo nanyinyi.

Nyote mwakaribishwa, bora msije huku kuombaomba au kuuza uchawi.
Unaweza usiwe wewe, ila wapo baadhi hulibishia hili. Nikipata muda ntapitia nyuzi za huko nyuma nikuoneshe
 
Wandugu na mimi nataka kumpeleka mwanangu nje ya nchi anasoma darasa la 2 na nje ambazo nataka akasome ni kanada uingereza china nifanye nini ?
 
Utaweza ishi Kenya wewe?

Kenya walivyo wakakisi na muda wote wako busy!

Shaulilo!
 
It is a very desirable thing to belong to two countries ukiwa ulizaliwa mpakani na geografia wafahamu vizuri. I envy those born kwa borders
 
kuna nini kati ya inch izi mbili kua na ushindani wa ki uraia, yani mtz ajifananishi na mtu mwengne ispo kua mkenya na mkenya hujiona wa juu kwa kujifananisha na mtz ,hii ina tokana na nini ?
 
Watanzania wa kutokea Arusha na Kilimanjaro ni wachapa kazi na ndio wanapiga misele huku.
Lakini wale omba omba wametokea mikoa ya huko kwengine
Duuuuuu at least nimo kundi la wachapa kazi
 
kuna nini kati ya inch izi mbili kua na ushindani wa ki uraia, yani mtz ajifananishi na mtu mwengne ispo kua mkenya na mkenya hujiona wa juu kwa kujifananisha na mtz ,hii ina tokana na nini ?
Kama yanga na simba tu yaan
 
kuna nini kati ya inch izi mbili kua na ushindani wa ki uraia, yani mtz ajifananishi na mtu mwengne ispo kua mkenya na mkenya hujiona wa juu kwa kujifananisha na mtz ,hii ina tokana na nini ?
Ni ushindani tu wa kikanda. Kenya na Tanzania ndizo nchi zilizoendelea na zenye uchumi kubwa zaidi eneo hili, hivi zinang'ang'ania kuwa na ushawishi mkubwa zaidi kanda hili.
 
hapa bongo yoyote anaweza kuingia kuishi isipokua msomali na alishabab. Asilimia kubwa yawanachi hawana pasport, cheti chakuzaliwa, drivin licence. Nahata ukiamua kuvipata vyote ivo sio tatzo kabsa labda uwe mtu mweupe ndo inaweza kua shida.
 
Wasalaam wakenya mabibi na mabwana !

Naomba maelekezo namna nzuri ya kupata uraia wa Kenya !

Natanguliza shukrani.
Uraia wa kenya??yaani katika nchi zote umeona bora ukawe mkora na mkabila?
 
Wasalaam wakenya mabibi na mabwana !

Naomba maelekezo namna nzuri ya kupata uraia wa Kenya !

Natanguliza shukrani.

Ni rahisi sana tu Mkuu msifie sana Uhuru Kenyatta na William Ruto kisha mponde mno Raila Odinga na Jaji Mkuu David Maraga kesho tu utapatiwa ' Uraia ' rasmi wa nchi ya Kenya.
 
Back
Top Bottom