Anamaanisha Ni wa Tz walio na akili kuliko wengineKwahiyo kwa upeo wako hao watu wa Arusha na Kilimanjaro siyo Watanzania au labda sijakuelewa vizuri?
Duuuuu......!Ni rahisi sana tu Mkuu msifie sana Uhuru Kenyatta na William Ruto kisha mponde mno Raila Odinga na Jaji Mkuu David Maraga kesho tu utapatiwa ' Uraia ' rasmi wa nchi ya Kenya.
Sure......!Ni ushindani tu wa kikanda. Kenya na Tanzania ndizo nchi zilizoendelea na zenye uchumi kubwa zaidi eneo hili, hivi zinang'ang'ania kuwa na ushawishi mkubwa zaidi kanda hili.
Du! Mbona tupo wengi tusitoka huko lakini tumewapita kielimu na kimaisha au nyie mnatumia twakimu zipi ambazo sisi hatuzifahamu.Anamaanisha Ni wa Tz walio na akili kuliko wengine
Takwim za serikali.Du! Mbona tupo wengi tusitoka huko lakini tumewapita kielimu na kimaisha au nyie mnatumia twakimu zipi ambazo sisi hatuzifahamu.
Ok.Takwim za serikali.
Kwamba mikoa ya Kaskazini wananchi wake wanaumasikini wa 14%.
Dar na Pwani ndio inaongoza kwa.kuwa na masikini wachache.
Lkn sasa Dar na Pwan haina wakazi wa jadi, asilimia kubwa ni wakuja na wengi wao wanao endesha uchumi wanatoka kule kaskazini
Hata Tanzania pia kuna wakenya wengi sanaHii hunishangaza, kunao jamaa huku Watanzania wenye vitambulisho vya Kenya kabisa, wengine hata wamejenga majengo makubwa makubwa. Huwa nafurahi sana jinsi nchi yangu hukaribisha wageni ilmradi hawazui fujo.
Naenda hvvyo hvyo gavana wa Kajiado kasema sio kosa letu sisiKwa vile vifaranga kuchomwa moto na ng'ombe kupigwa mnada sahau mkuu.Na hata uganda usiende nawo tuna beef.
Mkuu umenichekesha sana kwa kufuatilia huko,sasa Kenya haswa unafuata nini mkuu wakati kajiado kwenyewe kuna njaa?Naenda hvvyo hvyo gavana wa Kajiado kasema sio kosa letu sisi