Nawezaje kupata uraia wa Kenya ?

Nawezaje kupata uraia wa Kenya ?

Ni rahisi sana tu Mkuu msifie sana Uhuru Kenyatta na William Ruto kisha mponde mno Raila Odinga na Jaji Mkuu David Maraga kesho tu utapatiwa ' Uraia ' rasmi wa nchi ya Kenya.
Duuuuu......!
 
Ni ushindani tu wa kikanda. Kenya na Tanzania ndizo nchi zilizoendelea na zenye uchumi kubwa zaidi eneo hili, hivi zinang'ang'ania kuwa na ushawishi mkubwa zaidi kanda hili.
Sure......!
 
Bora tuondoke tu mana unaendeshwa kwenye gari na dreva ambae hajui kwanza kuendesha gar halaf hatujui tunapelekwa wapi
 
Kwa vile vifaranga kuchomwa moto na ng'ombe kupigwa mnada sahau mkuu.Na hata uganda usiende nawo tuna beef.
 
Du! Mbona tupo wengi tusitoka huko lakini tumewapita kielimu na kimaisha au nyie mnatumia twakimu zipi ambazo sisi hatuzifahamu.
Takwim za serikali.
Kwamba mikoa ya Kaskazini wananchi wake wanaumasikini wa 14%.
Dar na Pwani ndio inaongoza kwa.kuwa na masikini wachache.

Lkn sasa Dar na Pwan haina wakazi wa jadi, asilimia kubwa ni wakuja na wengi wao wanao endesha uchumi wanatoka kule kaskazini
 
Ok.
 
Hii hunishangaza, kunao jamaa huku Watanzania wenye vitambulisho vya Kenya kabisa, wengine hata wamejenga majengo makubwa makubwa. Huwa nafurahi sana jinsi nchi yangu hukaribisha wageni ilmradi hawazui fujo.
Hata Tanzania pia kuna wakenya wengi sana
 
Back
Top Bottom