Nawezaje kupokea pesa toka Nigeria?

Nawezaje kupokea pesa toka Nigeria?

Mwambie akutumie kwa moneygram au western union japo ni gharama, au akutumie kwa wire au kama anaweza akutumie kwa skrill
Samahani mkuu naomba kuuliza...ni wapi naweza kubadili Hela ya Rwanda kuja kwenye Tsh? Nimejaribu kwenye bank (DCB) na bureau (posta-airport) ila imeshindikana
 
Jaribu NMB mkuu japo sina hakika pia
 
Wewe sio unatapeliwa kweli na wale wadada feki wa kinaijeria wanaojifanya wahanga wa vita wanaishi kanisani!?..
Hiyo ya wadada hawo walinitumia mpka picha zao ninazo hadi sasa toka 2013 kuniambia ni wakimbizi na wanaishi makanisani wanataka waje Tanzania na kabla ya hapo baba y ao na mamayao waliouliwa ni majambazi na wakawacha kiasi chá dola za kimarekani dola milioni 7.5 kwahiyo walitaka niwatumie picha zangu majina kamili n.k. lkn ah nilikausha.
 
hahaha wale wanaijeria wajinga sana halafu saundi zao ni hizohizo..
 
Unageuzwa fursa hapo na kama ni kwa njia ya benki basi ukiwapa tu akauti wanapuliza akiba yote na kama njia ya simu ukiwapa tu namba yako wanasafisha salio lote lililobaki....
419 sio wa dunia hii, mabeberu wanawajua..............
 
Samahani mkuu naomba kuuliza...ni wapi naweza kubadili Hela ya Rwanda kuja kwenye Tsh? Nimejaribu kwenye bank (DCB) na bureau (posta-airport) ila imeshindikana
Hii vipi umeshaweya
 
Samahani mkuu naomba kuuliza...ni wapi naweza kubadili Hela ya Rwanda kuja kwenye Tsh? Nimejaribu kwenye bank (DCB) na bureau (posta-airport) ila imeshindikana
Mpk uende boarder Yao huko,bidhaa Zina angalia demand& supply.Hizi bank zikinunua hizo pesa za rwanda zitamuuzia Nani huku kitaa?Hazina demand ndio maana huzikuti bank boss.
 
Back
Top Bottom