Nawezaje kupokea pesa toka Nigeria?

Nawezaje kupokea pesa toka Nigeria?

Nenda mlimani city kuna ofisi za kubadilisha pesa mule ndani mie nimebadili sn tu tena mwisho juzi tu nimebadili rand
Samahani mkuu naomba kuuliza...ni wapi naweza kubadili Hela ya Rwanda kuja kwenye Tsh? Nimejaribu kwenye bank (DCB) na bureau (posta-airport) ila imeshindikana
 
hahaha wale wanaijeria wajinga sana halafu saundi zao ni hizohizo..
HuyuView attachment 2100917View attachment 2100918View attachment 2100919
Screenshot_2022-01-30-10-55-28.jpg
 
Japo umedanganya unachoenda kukifanya.... Before ilitumika 1xbet na hapo ilikuwa inabidi upate mnaija mwenye naira anakulipa kwa account namba Yako ya naira rate ni 1usd for 445 naira na hii ndio rate halisi ila baadae walikuja kuifungia, watu walikuja hawabeti walikuwa wanaitumia kutolea Hela zao..
Kiufupi kuanzia western Skrill MoneyGram africash, swift wire transfer.. hakuna hata Moja itakayokubali.. Cha kufanya ni kukubali Hilo punguzo la asilimia 60..
Uba Wana huduma ya ngn exchange..japo juzi kati niliwacheki wakasema hawaifanyi..
Cbn Wana scarcity ya foreign currency kwahiyo hakuna benki itakayokubali kutumia rate za cbn kuexchange naira matokeo yake ndio hizi third party Fintech co.. kama chipper cash.. flutterwave..afriex ... Wanaingia mchezoni ila wao wanakata asilimia 60 Ili wewe upokee Hela from Nigeria..
Kwa rate unayoitaka wewe kiufupi haiwezekani... Siku ukiipata na arbitrage ikawa Bado Iko hewani nicheki una millioni Moja cash ..
 
mkuu hii Nigeria arbitrage kwenye usd na crypto ni balaa. yani mm nimeshamtuma mpaka mtu anayesoma Nigeria ajaribu ila imeshindikana
 
mkuu hii Nigeria arbitrage kwenye usd na crypto ni balaa. yani mm nimeshamtuma mpaka mtu anayesoma Nigeria ajaribu ila imeshidikana
Na sio Hio tuu boss nchi zipo nyingi..
Kuna Tunisia.. morroco.. Ethiopia...na uarabuni Kuna wanaonunua usdt kwa 2530..sema volume Yao ni kubwa.. unakuta mtu anataka za million 900..
Kenya ni matapeli.. wengi wako paxful..
 
Back
Top Bottom