Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Mwambie akutumie via Bitcoin, or paypneerHabari wakuu
Kuna mteja yuko nigeria
Nawezaje kupokea pesa kwa njia nafuu toka huko hadi hapa Tanzania?
Inapatikana vipi maana playstore sijaionaMoneygram
Mwambie akutumie kwa moneygram au western union japo ni gharama, au akutumie kwa wire au kama anaweza akutumie kwa skrillHabari wakuu
Kuna mteja yuko nigeria
Nawezaje kupokea pesa kwa njia nafuu toka huko hadi hapa Tanzania?
Nchi nyingi za afrika zinapokea tu hazitumi pesa kupitia worldremitWorldRemit
Habari wakuu
Kuna mteja yuko nigeria
Nawezaje kupokea pesa kwa njia nafuu toka huko hadi hapa Tanzania?
Samahani mkuu naomba kuuliza...ni wapi naweza kubadili Hela ya Rwanda kuja kwenye Tsh? Nimejaribu kwenye bank (DCB) na bureau (posta-airport) ila imeshindikanaMwambie akutumie kwa moneygram au western union japo ni gharama, au akutumie kwa wire au kama anaweza akutumie kwa skrill
Jaribu NMB mkuu japo sina hakika piaSamahani mkuu naomba kuuliza...ni wapi naweza kubadili Hela ya Rwanda kuja kwenye Tsh? Nimejaribu kwenye bank (DCB) na bureau (posta-airport) ila imeshindikana
Hiyo ya wadada hawo walinitumia mpka picha zao ninazo hadi sasa toka 2013 kuniambia ni wakimbizi na wanaishi makanisani wanataka waje Tanzania na kabla ya hapo baba y ao na mamayao waliouliwa ni majambazi na wakawacha kiasi chá dola za kimarekani dola milioni 7.5 kwahiyo walitaka niwatumie picha zangu majina kamili n.k. lkn ah nilikausha.Wewe sio unatapeliwa kweli na wale wadada feki wa kinaijeria wanaojifanya wahanga wa vita wanaishi kanisani!?..
hahaha wale wanaijeria wajinga sana halafu saundi zao ni hizohizo..Hiyo ya wadada hawo walinitumia mpka picha zao ninazo hadi sasa toka 2013 kuniambia ni wakimbizi na wanaishi makanisani wanataka waje Tanzania na kabla ya hapo baba y ao na mamayao waliouliwa ni majambazi na wakawacha kiasi chá dola za kimarekani dola milioni 7.5 kwahiyo walitaka niwatumie picha zangu majina kamili n.k. lkn ah nilikausha.
Yahoo boys🤣🤣Habari wakuu
Kuna mteja yuko nigeria
Nawezaje kupokea pesa kwa njia nafuu toka huko hadi hapa Tanzania?
Hii vipi umeshaweyaSamahani mkuu naomba kuuliza...ni wapi naweza kubadili Hela ya Rwanda kuja kwenye Tsh? Nimejaribu kwenye bank (DCB) na bureau (posta-airport) ila imeshindikana
Mpk uende boarder Yao huko,bidhaa Zina angalia demand& supply.Hizi bank zikinunua hizo pesa za rwanda zitamuuzia Nani huku kitaa?Hazina demand ndio maana huzikuti bank boss.Samahani mkuu naomba kuuliza...ni wapi naweza kubadili Hela ya Rwanda kuja kwenye Tsh? Nimejaribu kwenye bank (DCB) na bureau (posta-airport) ila imeshindikana