Japo umedanganya unachoenda kukifanya.... Before ilitumika 1xbet na hapo ilikuwa inabidi upate mnaija mwenye naira anakulipa kwa account namba Yako ya naira rate ni 1usd for 445 naira na hii ndio rate halisi ila baadae walikuja kuifungia, watu walikuja hawabeti walikuwa wanaitumia kutolea Hela zao..
Kiufupi kuanzia western Skrill MoneyGram africash, swift wire transfer.. hakuna hata Moja itakayokubali.. Cha kufanya ni kukubali Hilo punguzo la asilimia 60..
Uba Wana huduma ya ngn exchange..japo juzi kati niliwacheki wakasema hawaifanyi..
Cbn Wana scarcity ya foreign currency kwahiyo hakuna benki itakayokubali kutumia rate za cbn kuexchange naira matokeo yake ndio hizi third party Fintech co.. kama chipper cash.. flutterwave..afriex ... Wanaingia mchezoni ila wao wanakata asilimia 60 Ili wewe upokee Hela from Nigeria..
Kwa rate unayoitaka wewe kiufupi haiwezekani... Siku ukiipata na arbitrage ikawa Bado Iko hewani nicheki una millioni Moja cash ..