Nawezaje kurejesha pesa nilizotuma kimakosa (Malipo ya Serikali)

UPDATE: Pesa zimerudi asee😂, ile Control number ni Exact Value, kwa maana malipo yote yapo configured kupokea kiasi kamili kichowekwa na kanzidata ya RITA, ingekuwa Control Number za Malipo ya TRA ama Bili zingine ningeumia, kuna App inaitwa GEPG, inaonesha ni Control number zipi zipo Configured kupokea Exact Amount na sio more or less than the setted amount ama zingine kiasi chochote, shukrani wadau. It has been a good ride! Kudos!
 
Attachments

  • MALIPO WRONG 2.jpeg
    MALIPO WRONG 2.jpeg
    34.4 KB · Views: 39
  • MALIPO YA SERIKALI WRONG.jpeg
    MALIPO YA SERIKALI WRONG.jpeg
    44.9 KB · Views: 33
UPDATE: Pesa zimerudi asee😂, ile Control number ni Exact Value, kwa maana malipo yote yapo configured kupokea kiasi kamili kichowekwa na kanzidata ya RITA, ingekuwa Control Number za Malipo ya TRA ama Bili zingine ningeumia, kuna App inaitwa GEPG, inaonesha ni Control number zipi zipo Configured kupokea Exact Amount na sio more or less than the setted amount ama zingine kiasi chochote, shukrani wadau. It has been a good ride! Kudos!
Hongera sana
 
Habari wanaJamii, leo nimetuma pesa zilizozidi kimakosa kwenda RITA; kwa maana nimetuma 30,000 badala ya 3,000, ni utaratibu upi nawezafanya kupata kiasi nilizozidisha? msaada tafadhali.
Dont worry, Inawezekana kuwa reversed.

Wasiliana na Rita pamoja na mtandao wako husika watakupa mwongozo. Nimeshawahi fanya reversals za TRA na zikawa successful.
 
Back
Top Bottom