Nawezaje kurekebisha jina katika vyeti vya sekondari na vyuo

Nawezaje kurekebisha jina katika vyeti vya sekondari na vyuo

skinless

Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
45
Reaction score
73
Wanajamii naomba msaada,

Mi ni mmoja wa watu ambayo majina yetu yalikosewa wakati wa majibu ya darasa la saba, assume jina lako ni Hassan wakati wa matokeo ije Hassanae, kiukweli naboreka mno, nimesomea jina Hilo Hilo Hadi nikamaliza chuo, Sasa nimeanza masters nje jina linatokezea like lile kutokana na mifumo, Yani naboreka hata sijui nisemeje maana niliapply na jina halisi lakini limetokea like lile ambalo silipendi.

Sasa naomba msaada nifanyeje atleast kwahii masters jina litumike lile ninalotaka na cheti kiwe jina ninalotaka Yani original sio lililopo ktk cheti Cha degree..

NB: Cheti cha kuzaliwa, passport ni jina langu halisi
 
Back
Top Bottom