Nawezaje kurudiana naye?

Amegundua wewe ndio mwanamke sahihi kwake ila kuna hayo mliyopitia pamoja huko nyuma.. Sasa mkishaingia kwenye ndoa na kuzoeana siku ukitokea ugomvi mdogo tu makaburi yote yatafukuliwa!
Makinika! Baki na msimamo wako! Usirudi nyuma! Uliyoyaona huko nyuma kwake na kwa ndugu zake yakupe fundisho lisilosahaulika
 
Usikubali
 

Mbona uamuzi na jibu umeshalitoa bi mkubwa?

Au huyo mjeda kashakuchimba biti la kukutoa uhai?
 

kadogo2 Wanasema.."kufanyakosa si kosa bali kurudia kosa"​

Mwambie kama kweli ana nia ya dhati ya kukufanya mwenzi wake basi mwelekeze aende kwenu akaanze taratibu rasmi ili muda utakapofika wa yeye kuoa basi aanzie hapo. Ole wako umfungulie tena miguu jamaa ndo utajua rangi yake halisi.
Ni ushauri tu nimetoa bali uamuzi ni wako...
 
Msimamo huo uliouonyesha ndio wa maana.Usikengeuke.
 
Hizi bahati mbona zinawapataga maboya!!?

yaani sealed halafu umetia mimba na una kazi!kwanini asingekuambia kama home kwenu wanazingua hamia geto na rasmi umekua make wangu kwaanzia sasa!!



Huyo jamaa Bado Ako boy sana ujue!!

na wewe kwanini ulitoa mwanao!!?kisa karatasi na ubwabwa wa harusi!!!

usimrudie mwambie we bado mdogo sana kimawazo !nilipokua mjamzito sikuuona uanaume wako kabisa !hebu aanzishe operation under 20 ndio atakaemfaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…