Nawezaje kurudiana naye?

Nawezaje kurudiana naye?

Yani licha ya kufanikiwa kutoka 0 - 0 kipindi cha kwanza huku ukiwa pungufu bado unataka kuingiza team tena uwanjani upate aibu? La haula!
Achana nae jipange upya utapata mtu sahihi.
Kwanza maamuzi hana, pili yuko desperate, kama kweli ni mwanaume makini angekua kashapata mwanamke muda sana.
Yote kwa yote mtafute baba yako mzazi kaa nae chini akupe ushauri.

Kweli msimamo hana
Kinachonikera zaidi ana lugha za kiuni yaani anakwazaa sana
 
Nasumbuliwa na red eyes [emoji102] yaani nlkua naona notifications tu zinaingia hata sijui za mada gani maana siwezi kusoma kabisa.. hapa naona afadhari kidogo macho yameacha kuwasha..

Kusema kweli wewe ulikosea kuua kiumbe kisichokua na hatia, kweli ulishindwa hata kuchoma vitumbua na mihogo ili upate pesa za kujikimu uje kumlea mwaneko...

Unataka kusema toka umalize chuo hukua unajishughulisha na kitu chochote kabisa? Ulkua kula kulala tu?
 
Miaka michache nyuma nikiwa na Miaka 23 ndio nimetoka kumaliza degree yangu katika chuo kikuu cha mzumbe kwa bahati mbaya nilijiingiza kwenye upuuzi ambao mpk Leo naujutia
Nimetumia ID mpya ili nisijulikane

Nikiwa na huo umri ndio kwa mara ya kwanza nilikutana na mwanaume yaani mpk namaliza chuo sikuwai kushiriki sex nilijitunza sana nikitamani nami niingie kwenye ndoa nikiwa bikira.. sio kwamba siku na mahusiano nilikuwa nayo ila yalikuwa yale ya no sex till marriage

Niseme tu bahatii mbaya nilikutana na Kijana ambae alikuwa ametoka kuajiliwa ana miezi kama miwili tangu apate ajira nikajikuta nimeanzisha nae mahusiano ghafla sijui ni nini kilitokea ila nilijikuta nimempenda ghafla sana.. ndani ya wiki moja akaniita geto kwake ambalo alikuwa analitumia weekend maana alikuwa anakaa kambini…

Kwa mara ya kwanza nikashiriki nae sex na siku hiyohiyo mimba ikaingia kitu ambacho sikukitarajia maana nilikuwa siku salama I mean nilibakiza siku 3 niingie hedhi… ukweli nilichanganyikiwa sana sio kidogo nikiangalia sina kazi nakaa kwetu nyumbani kwenyewe kula mtihani ubaya zaidii huyu Kama simfahamu nimekutana nae wiki moja tu kiufupi ilikuwa Kama pigo kwangu..cha ajabu zaidi kijana tupo age moja na nilipomwambia tu Nina mimba alianza kunipa da kitu ambacho kilifanya nimchukie nikiamini kuwa ameniharibia maisha yangu.. kilichoniudhi zaidii yule kaka alienda kuwaambia ndugu zake wote Mimi nina ujauzito wake, nikawa sina namna ikabidi nimshirikishe ndugu yangu aisee kitu cha kwanza aliniambia niitoe kijana nae akawa haelewekii leo anasema nitoe kesho anasema nisitoe yeye atalea.. kimbembe kikaja kwa ndugu zake wakawa wanamwambia kuwa inawezekana mimba siyo yake nimemsingizia kwasababu nimeona ana kazi ikafikia hatua ndugu zake wananiambia niitoe maana naweza kutelekezwa mara waseme namdangia ndugu yao kitu ambacho kiliniuma sana

Nikawa sina msaada wowote zaidii ya mwanaume alikubali kulea mimba ile akawa anahudumia akafungua account benk kiufupi alikuwa anaonesha nia japo pesa zake ni ukiomba utasubirishwaa sanaa yaani kila siku ni ahadi.. nyumbani wote waligomaa hawataki kusikia kuhusu mimi hapo tayari mimba ina week 3 nikawa sasa nimechanganyikiwa nikiwaza mtu ninaezaa nae muda wowote atanigeukaa jamii nayo itanionajee yaani kelele zikawa nyingi mwishoni nikaona bora nisikilize wengi nikaamua kufanya abortion ikiwa na wiki 3 sikumwambia yule Kijana mpk ilipofika miezi 2 ndio nilimwambia imetoka sikusema Kama niliitoa tuligombana sana akanitukana sana akisema nimeitoa.. nikashikilia msimamo wangu kuwa sijaitoa imetoka basi yule kijana akaniambia Kama kweli hivyo anataka tena anipe mimba nyingine maana yeye alishawaambia ndugu zake.. Mimi nikawa nazungusha tu,, tuligombana kila siku na yeye ndio alikuwa mkorofi nikaona atakuja kuniua nikamwambia tuachane alikuwa king’ang’anizi kiasi kwamba akaanza kunitukana nilichofanya nikabadili namba

Sasa kilichonileta hapa ni kuwa amerudi tena anahitaji tuwe wote ila Sharti analonipa ili aniamini anahitaji tuzae wote tena na tukaishi pamoja.. nilichomjibu ni kuwa haiwezekani akitaka tuoane ndio tuzae ila kwa kazi yake muda wa kuoa bado haujafika… Sasa amekuwa akinisumbua sana turudiane ila mimi naogopa asije kuwa anataka kulipa kisasi… tangu tuachane ni Miaka imepita na Mimi sijawah tena kujiingiza na mahusiano nilishaomba toba kwa mwenyezi Mungu na Nina imani nimesamehewa Sina mwanaume yoyote wala sikuwai kukutana na mwanaume mwingi baada yake

Ushaurii wenu nifanyaje

Nimetumia fake ID ili nipate ushaurii kwa uhuru
New single mother in the making...
Amini amini nakwambieni kama anakupenda kweli subiri akuoe vinginevyo utazaa na ataoa mwingine
 
acheni hiyo mambo ya replay mtaumizana na kusababisha madhara, uharibifu, majeraha mabaya na hata pengine mauaji.....🐒

Mlishindwana mwanzoni mje muwezane mweshoni...
Ni vizur kila moja aendelee na kutafuta mwenza wake kwa uelekeo wake lakini sio kurejeana 🐒

R I P laigwanani comrade ENL
 
Huruma kwako ni kuwa bado hujaonja sana utamu na uchungu wa mapenzi na ndyo udhaifu anaoutumia kwako

Mungu akusaidie usirudi kwake majuto yake yatakuwa makubwa sana
 
acheni hiyo mambo ya replay mtaumizana na kusababisha madhara, uharibifu, majeraha mabaya na hata pengine mauaji.....[emoji205]

Mlishindwana mwanzoni mje muwezane mweshoni...
Ni vizur kila moja aendelee na kutafuta mwenza wake kwa uelekeo wake lakini sio kurejeana [emoji205]

R I P laigwanani comrade ENL

Sawa
 
Back
Top Bottom