- Thread starter
- #61
Nasumbuliwa na red eyes [emoji102] yaani nlkua naona notifications tu zinaingia hata sijui za mada gani maana siwezi kusoma kabisa.. hapa naona afadhari kidogo macho yameacha kuwasha..
Kusema kweli wewe ulikosea kuua kiumbe kisichokua na hatia, kweli ulishindwa hata kuchoma vitumbua na mihogo ili upate pesa za kujikimu uje kumlea mwaneko...
Unataka kusema toka umalize chuo hukua unajishughulisha na kitu chochote kabisa? Ulkua kula kulala tu?
Ni kweli nilikosea na nilishaomba toba kwasasa hilo achana nalo
Kuhusu shughuli nilikuwa sina ndio nilikuwa nimemaliza chuo nina miezi 3 home