Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kwahiyo utamrudia kisa unaogopa kufa singo na humpendi?Naogopa kufa single
Mbona majentromen wapo wengi sana kwa mtaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo utamrudia kisa unaogopa kufa singo na humpendi?Naogopa kufa single
Ukitaka kuoa au kuolewa pigen magoti fungen muombeji mwanzilishi wa taasisi ya ndoa.Miaka michache nyuma nikiwa na Miaka 23 ndio nimetoka kumaliza degree yangu katika chuo kikuu cha mzumbe kwa bahati mbaya nilijiingiza kwenye upuuzi ambao mpk Leo naujutia
Nimetumia ID mpya ili nisijulikane
Nikiwa na huo umri ndio kwa mara ya kwanza nilikutana na mwanaume yaani mpk namaliza chuo sikuwai kushiriki sex nilijitunza sana nikitamani nami niingie kwenye ndoa nikiwa bikira.. sio kwamba siku na mahusiano nilikuwa nayo ila yalikuwa yale ya no sex till marriage
Niseme tu bahatii mbaya nilikutana na Kijana ambae alikuwa ametoka kuajiliwa ana miezi kama miwili tangu apate ajira nikajikuta nimeanzisha nae mahusiano ghafla sijui ni nini kilitokea ila nilijikuta nimempenda ghafla sana.. ndani ya wiki moja akaniita geto kwake ambalo alikuwa analitumia weekend maana alikuwa anakaa kambini…
Kwa mara ya kwanza nikashiriki nae sex na siku hiyohiyo mimba ikaingia kitu ambacho sikukitarajia maana nilikuwa siku salama I mean nilibakiza siku 3 niingie hedhi… ukweli nilichanganyikiwa sana sio kidogo nikiangalia sina kazi nakaa kwetu nyumbani kwenyewe kula mtihani ubaya zaidii huyu Kama simfahamu nimekutana nae wiki moja tu kiufupi ilikuwa Kama pigo kwangu..cha ajabu zaidi kijana tupo age moja na nilipomwambia tu Nina mimba alianza kunipa da kitu ambacho kilifanya nimchukie nikiamini kuwa ameniharibia maisha yangu.. kilichoniudhi zaidii yule kaka alienda kuwaambia ndugu zake wote Mimi nina ujauzito wake, nikawa sina namna ikabidi nimshirikishe ndugu yangu aisee kitu cha kwanza aliniambia niitoe kijana nae akawa haelewekii leo anasema nitoe kesho anasema nisitoe yeye atalea.. kimbembe kikaja kwa ndugu zake wakawa wanamwambia kuwa inawezekana mimba siyo yake nimemsingizia kwasababu nimeona ana kazi ikafikia hatua ndugu zake wananiambia niitoe maana naweza kutelekezwa mara waseme namdangia ndugu yao kitu ambacho kiliniuma sana
Nikawa sina msaada wowote zaidii ya mwanaume alikubali kulea mimba ile akawa anahudumia akafungua account benk kiufupi alikuwa anaonesha nia japo pesa zake ni ukiomba utasubirishwaa sanaa yaani kila siku ni ahadi.. nyumbani wote waligomaa hawataki kusikia kuhusu mimi hapo tayari mimba ina week 3 nikawa sasa nimechanganyikiwa nikiwaza mtu ninaezaa nae muda wowote atanigeukaa jamii nayo itanionajee yaani kelele zikawa nyingi mwishoni nikaona bora nisikilize wengi nikaamua kufanya abortion ikiwa na wiki 3 sikumwambia yule Kijana mpk ilipofika miezi 2 ndio nilimwambia imetoka sikusema Kama niliitoa tuligombana sana akanitukana sana akisema nimeitoa.. nikashikilia msimamo wangu kuwa sijaitoa imetoka basi yule kijana akaniambia Kama kweli hivyo anataka tena anipe mimba nyingine maana yeye alishawaambia ndugu zake.. Mimi nikawa nazungusha tu,, tuligombana kila siku na yeye ndio alikuwa mkorofi nikaona atakuja kuniua nikamwambia tuachane alikuwa king’ang’anizi kiasi kwamba akaanza kunitukana nilichofanya nikabadili namba
Sasa kilichonileta hapa ni kuwa amerudi tena anahitaji tuwe wote ila Sharti analonipa ili aniamini anahitaji tuzae wote tena na tukaishi pamoja.. nilichomjibu ni kuwa haiwezekani akitaka tuoane ndio tuzae ila kwa kazi yake muda wa kuoa bado haujafika… Sasa amekuwa akinisumbua sana turudiane ila mimi naogopa asije kuwa anataka kulipa kisasi… tangu tuachane ni Miaka imepita na Mimi sijawah tena kujiingiza na mahusiano nilishaomba toba kwa mwenyezi Mungu na Nina imani nimesamehewa Sina mwanaume yoyote wala sikuwai kukutana na mwanaume mwingi baada yake
Ushaurii wenu nifanyaje
Nimetumia fake ID ili nipate ushaurii kwa uhuru
Yaani wewe una matatizo makubwa ndugu yangu, hivi unazaaje Na mtu ambae huna future nae? Hivi sisi wengine tuliopo hapa tunaokumezea mate unatuchukuliaje? Hebu njoo pm tuyajenge wacha kuhangaika mdogo wangu tustiriane.Huyu simuwezi yaani kitu kidogo anawaambia ndugu zake… dada yake tu aliniambia kama unataka kuteseka basi zaa nae labda kama nikubali kuzaa nae ila nilee peke angu ni kama mvuta bangi
Na huko tayari kubadili Dini?Christian
Kabisa tupo wengi sanaKwahiyo utamrudia kisa unaogopa kufa singo na humpendi?
Mbona majentromen wapo wengi sana kwa mtaa
Usizae nje ya ndo, full stopMiaka michache nyuma nikiwa na Miaka 23 ndio nimetoka kumaliza degree yangu katika chuo kikuu cha mzumbe kwa bahati mbaya nilijiingiza kwenye upuuzi ambao mpk Leo naujutia
Nimetumia ID mpya ili nisijulikane
Nikiwa na huo umri ndio kwa mara ya kwanza nilikutana na mwanaume yaani mpk namaliza chuo sikuwai kushiriki sex nilijitunza sana nikitamani nami niingie kwenye ndoa nikiwa bikira.. sio kwamba siku na mahusiano nilikuwa nayo ila yalikuwa yale ya no sex till marriage
Niseme tu bahatii mbaya nilikutana na Kijana ambae alikuwa ametoka kuajiliwa ana miezi kama miwili tangu apate ajira nikajikuta nimeanzisha nae mahusiano ghafla sijui ni nini kilitokea ila nilijikuta nimempenda ghafla sana.. ndani ya wiki moja akaniita geto kwake ambalo alikuwa analitumia weekend maana alikuwa anakaa kambini…
Kwa mara ya kwanza nikashiriki nae sex na siku hiyohiyo mimba ikaingia kitu ambacho sikukitarajia maana nilikuwa siku salama I mean nilibakiza siku 3 niingie hedhi… ukweli nilichanganyikiwa sana sio kidogo nikiangalia sina kazi nakaa kwetu nyumbani kwenyewe kula mtihani ubaya zaidii huyu Kama simfahamu nimekutana nae wiki moja tu kiufupi ilikuwa Kama pigo kwangu..cha ajabu zaidi kijana tupo age moja na nilipomwambia tu Nina mimba alianza kunipa da kitu ambacho kilifanya nimchukie nikiamini kuwa ameniharibia maisha yangu.. kilichoniudhi zaidii yule kaka alienda kuwaambia ndugu zake wote Mimi nina ujauzito wake, nikawa sina namna ikabidi nimshirikishe ndugu yangu aisee kitu cha kwanza aliniambia niitoe kijana nae akawa haelewekii leo anasema nitoe kesho anasema nisitoe yeye atalea.. kimbembe kikaja kwa ndugu zake wakawa wanamwambia kuwa inawezekana mimba siyo yake nimemsingizia kwasababu nimeona ana kazi ikafikia hatua ndugu zake wananiambia niitoe maana naweza kutelekezwa mara waseme namdangia ndugu yao kitu ambacho kiliniuma sana
Nikawa sina msaada wowote zaidii ya mwanaume alikubali kulea mimba ile akawa anahudumia akafungua account benk kiufupi alikuwa anaonesha nia japo pesa zake ni ukiomba utasubirishwaa sanaa yaani kila siku ni ahadi.. nyumbani wote waligomaa hawataki kusikia kuhusu mimi hapo tayari mimba ina week 3 nikawa sasa nimechanganyikiwa nikiwaza mtu ninaezaa nae muda wowote atanigeukaa jamii nayo itanionajee yaani kelele zikawa nyingi mwishoni nikaona bora nisikilize wengi nikaamua kufanya abortion ikiwa na wiki 3 sikumwambia yule Kijana mpk ilipofika miezi 2 ndio nilimwambia imetoka sikusema Kama niliitoa tuligombana sana akanitukana sana akisema nimeitoa.. nikashikilia msimamo wangu kuwa sijaitoa imetoka basi yule kijana akaniambia Kama kweli hivyo anataka tena anipe mimba nyingine maana yeye alishawaambia ndugu zake.. Mimi nikawa nazungusha tu,, tuligombana kila siku na yeye ndio alikuwa mkorofi nikaona atakuja kuniua nikamwambia tuachane alikuwa king’ang’anizi kiasi kwamba akaanza kunitukana nilichofanya nikabadili namba
Sasa kilichonileta hapa ni kuwa amerudi tena anahitaji tuwe wote ila Sharti analonipa ili aniamini anahitaji tuzae wote tena na tukaishi pamoja.. nilichomjibu ni kuwa haiwezekani akitaka tuoane ndio tuzae ila kwa kazi yake muda wa kuoa bado haujafika… Sasa amekuwa akinisumbua sana turudiane ila mimi naogopa asije kuwa anataka kulipa kisasi… tangu tuachane ni Miaka imepita na Mimi sijawah tena kujiingiza na mahusiano nilishaomba toba kwa mwenyezi Mungu na Nina imani nimesamehewa Sina mwanaume yoyote wala sikuwai kukutana na mwanaume mwingi baada yake
Ushaurii wenu nifanyaje
Nimetumia fake ID ili nipate ushaurii kwa uhuru
Mmh songa mbele kama injili mkuu labda angekuja na nia ya ndoa ila tuzae tuishi pamoja!Miaka michache nyuma nikiwa na Miaka 23 ndio nimetoka kumaliza degree yangu katika chuo kikuu cha mzumbe kwa bahati mbaya nilijiingiza kwenye upuuzi ambao mpk Leo naujutia

Mimba ndani ya week tatu tuu unaanza kuomba hela !!!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], Ndani ya week tatu hizohizo unasubirishwa hadi ukakata tamaa ukaamua kutoa mimba, Ndani ya week tatu ndugu zako na wake washajua na washaanza vurumai [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], Hizo hizo week tatu mshashauriana kutoa na kutokutoa !!!
Kmmake
Na huko tayari kubadili Dini?
Kweli ulikuwa bikra.. Kabla ya siku 3 uingie hedhi na ukapata mimba...Miaka michache nyuma nikiwa na Miaka 23 ndio nimetoka kumaliza degree yangu katika chuo kikuu cha mzumbe kwa bahati mbaya nilijiingiza kwenye upuuzi ambao mpk Leo naujutia
Nimetumia ID mpya ili nisijulikane
Nikiwa na huo umri ndio kwa mara ya kwanza nilikutana na mwanaume yaani mpk namaliza chuo sikuwai kushiriki sex nilijitunza sana nikitamani nami niingie kwenye ndoa nikiwa bikira.. sio kwamba siku na mahusiano nilikuwa nayo ila yalikuwa yale ya no sex till marriage
Niseme tu bahatii mbaya nilikutana na Kijana ambae alikuwa ametoka kuajiliwa ana miezi kama miwili tangu apate ajira nikajikuta nimeanzisha nae mahusiano ghafla sijui ni nini kilitokea ila nilijikuta nimempenda ghafla sana.. ndani ya wiki moja akaniita geto kwake ambalo alikuwa analitumia weekend maana alikuwa anakaa kambini…
Kwa mara ya kwanza nikashiriki nae sex na siku hiyohiyo mimba ikaingia kitu ambacho sikukitarajia maana nilikuwa siku salama I mean nilibakiza siku 3 niingie hedhi… ukweli nilichanganyikiwa sana sio kidogo nikiangalia sina kazi nakaa kwetu nyumbani kwenyewe kula mtihani ubaya zaidii huyu Kama simfahamu nimekutana nae wiki moja tu kiufupi ilikuwa Kama pigo kwangu..cha ajabu zaidi kijana tupo age moja na nilipomwambia tu Nina mimba alianza kunipa da kitu ambacho kilifanya nimchukie nikiamini kuwa ameniharibia maisha yangu.. kilichoniudhi zaidii yule kaka alienda kuwaambia ndugu zake wote Mimi nina ujauzito wake, nikawa sina namna ikabidi nimshirikishe ndugu yangu aisee kitu cha kwanza aliniambia niitoe kijana nae akawa haelewekii leo anasema nitoe kesho anasema nisitoe yeye atalea.. kimbembe kikaja kwa ndugu zake wakawa wanamwambia kuwa inawezekana mimba siyo yake nimemsingizia kwasababu nimeona ana kazi ikafikia hatua ndugu zake wananiambia niitoe maana naweza kutelekezwa mara waseme namdangia ndugu yao kitu ambacho kiliniuma sana
Nikawa sina msaada wowote zaidii ya mwanaume alikubali kulea mimba ile akawa anahudumia akafungua account benk kiufupi alikuwa anaonesha nia japo pesa zake ni ukiomba utasubirishwaa sanaa yaani kila siku ni ahadi.. nyumbani wote waligomaa hawataki kusikia kuhusu mimi hapo tayari mimba ina week 3 nikawa sasa nimechanganyikiwa nikiwaza mtu ninaezaa nae muda wowote atanigeukaa jamii nayo itanionajee yaani kelele zikawa nyingi mwishoni nikaona bora nisikilize wengi nikaamua kufanya abortion ikiwa na wiki 3 sikumwambia yule Kijana mpk ilipofika miezi 2 ndio nilimwambia imetoka sikusema Kama niliitoa tuligombana sana akanitukana sana akisema nimeitoa.. nikashikilia msimamo wangu kuwa sijaitoa imetoka basi yule kijana akaniambia Kama kweli hivyo anataka tena anipe mimba nyingine maana yeye alishawaambia ndugu zake.. Mimi nikawa nazungusha tu,, tuligombana kila siku na yeye ndio alikuwa mkorofi nikaona atakuja kuniua nikamwambia tuachane alikuwa king’ang’anizi kiasi kwamba akaanza kunitukana nilichofanya nikabadili namba
Sasa kilichonileta hapa ni kuwa amerudi tena anahitaji tuwe wote ila Sharti analonipa ili aniamini anahitaji tuzae wote tena na tukaishi pamoja.. nilichomjibu ni kuwa haiwezekani akitaka tuoane ndio tuzae ila kwa kazi yake muda wa kuoa bado haujafika… Sasa amekuwa akinisumbua sana turudiane ila mimi naogopa asije kuwa anataka kulipa kisasi… tangu tuachane ni Miaka imepita na Mimi sijawah tena kujiingiza na mahusiano nilishaomba toba kwa mwenyezi Mungu na Nina imani nimesamehewa Sina mwanaume yoyote wala sikuwai kukutana na mwanaume mwingi baada yake
Ushaurii wenu nifanyaje
Nimetumia fake ID ili nipate ushaurii kwa uhuru
Tayari ulikua mjuzi wa mambo yote hayo hadi vipimo lakini bikira?Najua huwezi elewa ila ni ukweli… mimi nilianza kupata dalili za mimba wiki moja tu baada ya sex nilikuwa naharisha nasinzia napata kizunguzungu harufu ya chakula ikawa inanivuruga yaani mpk nikiwa nakula wali nawaambia wali unanuka vibaya siwezi kula
Kuna Kijana mmoja alikuja home ndio alinishtua maana aliponiona tu akiniambia wewe una mimbaa ila nilikataa maana nilikuwa najua nakaribia period ila siku hiyohiyo nilienda kununua kipimo ambapo ndio nilitimiza wiki 2 nikamwambia mwanaume siku hiyohiyo na mwanaume mwenyewe alikuwa haelewi vipimo na Mimi pia sikuwa nina uhakika maana kipimo kilionesha mistari 2 mmoja umekolea mwinginee upo kwa mbali hivyo yule kaka alimtumia dokta ndy kutupa uhakika imo
Kesho yake tukawa tunajadili tufanyaje ndio huyo kaka kuomba ushaurii kwao… so ni kipindi ambacho kila siku ni vitimbi yaani kila siku simu haziishi… na kwanini tukio lilifanyika haraka ni kutokana na ushawishi wa watu wapembeni wakisema nifanye maamuzi mapema isifike mwezi ni hatari kwa afya yangu
Kuhusu hela ni hizo wiki tulizokutana mpk kujua nina ujauzito alikuwa mgumu kutoa hela
My dear sina haja ya kudanganya hapa na nimetumia ID fake
Angalia asije akakutwanga risasi kwakua unamzungusha wanajeshi hua wana vihasira vya karibu sana na busara zao ziko mbali sana.
Kweli ulikuwa bikra.. Kabla ya siku 3 uingie hedhi na ukapata mimba...
Itakuwa mzunguko wako wa ezi ni ule wa sayari ya mars...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tayari ulikua mjuzi wa mambo yote hayo hadi vipimo lakini bikira?
Mapenzi hayana formula ndo maana anaomba ushauri, Wenye degree wanateseka 'std 2' pia.Ikiwa ni kweli una elimu ya chuo kikuu na unashindwa kufanya maamuzi kwenye jambo dogo kama hili,hakika ulienda Mzumbe kusomea ujinga.
You mean Samora H, LT 1 and 4 kote ulitoka bilabila hakuna x yyt huko mmh... 🙄Miaka michache nyuma nikiwa na Miaka 23 ndio nimetoka kumaliza degree yangu katika chuo kikuu cha mzumbe kwa bahati mbaya nilijiingiza kwenye upuuzi ambao mpk Leo naujutia