Nawezaje Kuscan Wi-Fi kwa QR Code

Nawezaje Kuscan Wi-Fi kwa QR Code

Fungua camera ya simu yako kisha point kwenye hiyo QR CODE,
Hapo automatically utakua umejoin kwenye hiyo network,
Au unaweza kutumia ScanQR,Wifi QR code scanner,

Njia zipo nyingi tu,jaribu hiyo ya Camera ni rahisi zaidi kwako.
 
ZTE blade 36
Fungua Settings.
Ingia kwenye Wi-Fi.
Washa Wi-Fi.
Tafuta alama ya QR code au chaguo la Scan QR code.
Simu ambayo imeunganishwa na wifi unafungua QR code halafu hio nyingine unafungua scan QR code au alama ya camera.
 
Back
Top Bottom