Nawezaje kutatua tatizo hili la AVN

Nawezaje kutatua tatizo hili la AVN

Abubakar liviga

New Member
Joined
Aug 27, 2022
Posts
2
Reaction score
0
Nilijirejista kuangalia AVN number yangu na ikafika kweny kipengele Cha kuangalia information zangu Kama ziko sawa nikajiridhisha kuwa zipo sawa nikabonyeza continue lakini mtandao nahisi ulikuwa unasumbua ivyo ikaja blank page Haina kuti.

So nikaamua kurudi nyuma na iliporudi kuingia tena inanikatalia kuwa nishajirejista lakini sikuiona surname yangu wala password na nikiomba kuwa nimesahau password inaniambia kuwa inanionyesha kuwa user name or namb ya sim or email siyo sahihi wakati ziko sahihi na uzuri nilipiga screenshot kabla ya kuendelea
 
AVN ipi unaizungumzia au ADULT VIDEO NETWORK.
 
fanya kuingia hivyo hivyo uwe unatest tu itakubari, mimi nimemaliza leo na avn nimepata leo leo ilikuwa inafanya hivyo hivyo
 
Ingia kwenye email yako angalia kuna ujumbe wamekutumia una username na password yako
 
Back
Top Bottom