mzeennikita
Member
- Aug 31, 2013
- 25
- 2
Nashukuru kwa ushauri mzuri nina hakika kwa ushauri huu wa wachache utaweza kunifikisha pale ninapohitaji kufika,shukrani kwa wote.
Swali: Ukisha attain hii dream yako nini kinafuata?
Nimepitia mambo mengi katika umri wangu mdogo ila kitu ninachoshindwa kukiacha maishani ni kuhusiana na ndoto yangu ya kuwa Tajiri namba moja duniani ingawaje ni mtanzania mwenye kipato cha kawaida ila mwenye malengo mengi ninayokazania yatimie,JE NAWEZAJE KUTIMIZA NDOTO YANGU YA KUWA TAJIRI NAMBA MOJA DUNIANI AU KUONDOA KABISA MAWAZO HAYA KWA SASA AMBAYO YAPO TOKA UMRI WANGU WA UDOGO.
Nipeni Tumaini wana jamvi la uchumi.
Vision + Mission
Tumia fulsa zilizopo,soma sana vitabu vya watu waliofanikiwa njia walizotumia,ukianguka inuka,usikate tamaa, impossible kwako iwe I'm possible,Mshilikishe,heshimu watu wote na Mungu kwa kila jambo
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums