Nawezaje kutimiza ndoto yangu ya kuwa tajiri number moja duniani?

Nawezaje kutimiza ndoto yangu ya kuwa tajiri number moja duniani?

mzeennikita

Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
25
Reaction score
2
Nimepitia mambo mengi katika umri wangu mdogo ila kitu ninachoshindwa kukiacha maishani ni kuhusiana na ndoto yangu ya kuwa Tajiri namba moja duniani ingawaje ni mtanzania mwenye kipato cha kawaida ila mwenye malengo mengi ninayokazania yatimie,JE NAWEZAJE KUTIMIZA NDOTO YANGU YA KUWA TAJIRI NAMBA MOJA DUNIANI AU KUONDOA KABISA MAWAZO HAYA KWA SASA AMBAYO YAPO TOKA UMRI WANGU WA UDOGO.

Nipeni Tumaini wana jamvi la uchumi.
 
  • Sito jibu moja kwamoja kwamba unaweza au la, ila siri ya mafanikio tayari unayo, "kwamba unaweza" huu uthubutu ndio siri ya mafanikio kwa kila aliyefanikiwa. Kwa wote walio fanikiwa kwao hawana msamiati "haiwezekani".
  • Nchi yetu bado ina rasilimali nyingi sana za kumwezesha kijana mtanzania kuweza timiza malengo yake akizitumia vyema.
  • Kila lakheri ndugu.
 
Naona unatauta kutiwa moyo!! Hakuna mtu atakufundisha jinsi ya kuwa tajiri.
 
usifikiri kuwa tajiri namba moja, fikiri kuwa na bidhaa bora au huduma bora. hakuna tajiri aliyeanza na mawazo ya kuwa simply tajiri walianza na bidhaa au huduma, halafu ubora wake ndio ukawafanya wawe matajiri namba moja
 
Vision + Mission

Tumia fulsa zilizopo,soma sana vitabu vya watu waliofanikiwa njia walizotumia,ukianguka inuka,usikate tamaa, impossible kwako iwe I'm possible,Mshilikishe,heshimu watu wote na Mungu kwa kila jambo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nashukuru kwa ushauri mzuri nina hakika kwa ushauri huu wa wachache utaweza kunifikisha pale ninapohitaji kufika,shukrani kwa wote.
 
Nimepitia mambo mengi katika umri wangu mdogo ila kitu ninachoshindwa kukiacha maishani ni kuhusiana na ndoto yangu ya kuwa Tajiri namba moja duniani ingawaje ni mtanzania mwenye kipato cha kawaida ila mwenye malengo mengi ninayokazania yatimie,JE NAWEZAJE KUTIMIZA NDOTO YANGU YA KUWA TAJIRI NAMBA MOJA DUNIANI AU KUONDOA KABISA MAWAZO HAYA KWA SASA AMBAYO YAPO TOKA UMRI WANGU WA UDOGO.

Nipeni Tumaini wana jamvi la uchumi.

change the way you think
 
endelea kulala hadi ndoto yako itakapotimia
 
Vision + Mission

Tumia fulsa zilizopo,soma sana vitabu vya watu waliofanikiwa njia walizotumia,ukianguka inuka,usikate tamaa, impossible kwako iwe I'm possible,Mshilikishe,heshimu watu wote na Mungu kwa kila jambo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Ukiheshimu wapumbavu hutotajirika ng'o!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
mimi sikupi tumaini,nakupa ukweli.utajiri number 1 haupatikani kwa mganga......na niamini, kama una kazi unazifanya na bado unatuomba ushauri basi KAMWE HUTOWEZA HATA KUWA TAJIRI NAMBA 1 KWA KIGOMA...i mean ni kama huna hakika na mikono+kichwa chako...kuwa tajiri lazima uvunje mwiko wa kijamii kuhusu biashara..yaani ulete kitu kipya ambacho watu wote walikuwa hawakioni(check billgate,na wengine)..kwa hiyo kama hicho kitu ni unique kiasi hicho unadhani kuna mtu atakuambia?
i wish backresa na mengi warudi utotoni then waje kuomba ushauri jf....otherwise tafuta namna ya kuyafuta
 
Back
Top Bottom