Nawezaje kutofautisha kanga dume na jike?

Nawezaje kutofautisha kanga dume na jike?

Kanga dume anakuwa na mwili mkubwa jike anakuwa na mwili mdogo.

Pia tunaangalia masikio jike masikio yake yanajipinda kwa mbele dume masikio yake hayajipindi.. kwa usahihi zaidi nitakutumia picha kesho kama bado utakuwa hujapata jibu lakueleweka.

Hii nikwa kanga wakubwa wadogo sijui
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Back
Top Bottom