Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Cheki na Miso MissondoNina mawazo kuhusu mambo ya kuwekwa katika mpango mpya wa maendeleo wa Taifa.
Mawazo yangu siwezi kuyaweka humu maana inaweza yakaibwa na nchi nyingine hivyo kupelekea mambo hayo kwenda kufanya na nchi nyingine na sisi tukaendelea kubaki nyuma.
Nawajua watendaji wetu wengi, hawasomagi meseji wala kujibu message wanazotumiwa, ikiwemo kwenye social media zao.
Najua pia Rais amezuia kutumiwa direct message kwenye mitandao ikiwemo twitter na kwingineko.
Najua Rais yupo humu na Wasaidizi wake wapo humu pia.
Nataka kutuma haya mawazo. Naomba wanijibu nawafikieje?
Umepigaje hapo![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Cheki na Miso Missondo
Mwambie afanye haraka 😄😄😄Jaribu kwa Lucas mwashambwa
Hata mimi nilidhani kwa kuwa yeye ni chawa basi ana direct access kwenda kwa mama. Kumbe ni kapuku tu kama sisi!Sikuzote tunavyobishana humu najua mwenzetu upo kwenye sistimu tena jikoni kabisa.
Kumbe ni kamchape tu kama wengine huku.
Sasa kuanzia leo ndo uamini mimi sio chawa.Sikuzote tunavyobishana humu najua mwenzetu upo kwenye sistimu tena jikoni kabisa.
Kumbe ni kamchape tu kama wengine huku.
Kwa mfumo wa nchi yetu ulivyo sidhani kama hata iyo barua ataionaAndika Barua Kwa Rais Ipeleke Ikulu
Kwahiyo umeamini wanahitaji maoni?! Hiyo kujifanya wanahitaji maoni ni ili kuhadaa umma ili waonekane wanashirikisha wananchi, lakini kiukweli wana matakwa yao tayari. Kitu Pekee wanachoweza kusikiliza ni hoja za wanasiasa wa upinzani wanapowakejeli. Hayo maoni ya wananchi hata yawe ya msingi vipi huwa hawana muda wa kuyapitia na kuyachukua.Kwa mfumo wa nchi yetu ulivyo sidhani kama hata iyo barua ataiona
Ww ni chawa ila huna mvuto kwa watawala, ndio maana uko mbali nao.Sasa kuanzia leo ndo uamini mimi sio chawa.
Anaiona MkuuKwa mfumo wa nchi yetu ulivyo sidhani kama hata iyo barua ataiona
Anaiona MkuuKwa mfumo wa nchi yetu ulivyo sidhani kama hata iyo barua ataiona