Nawezaje kutuma jambo moja kwa moja kwa Rais au Wasaidizi wa Rais?

Nawezaje kutuma jambo moja kwa moja kwa Rais au Wasaidizi wa Rais?

Na
Ww ni chawa ila huna mvuto kwa watawala, ndio maana uko mbali nao
Vipi huyu Lucas mwashambwa ?

Vijana wa CCM unajua ni manunda sana? Wengi ni empty set kichwani.

Hawataki kufanya kazi ili wapate pesa kwa matumizi yao na familia zao.

Wanadanganyana kuwa ukiwa chawa wa kusifu hata ushuzi wa kiongozi fulani wa serikali na CCM unaweza wao husema "kulamba uteuzi" na kuingia kwenye mfumo wa vipato vya wizi na ufisadi..!

Matokeo yake wengi huishia kuwa very embarrassed and disappointed kwa kutopata chochote mwisho huamua kwenda kijijini kulima nyanya wakati huo wakiwa wamehapoteza muda wao muhimu wa thamani kwa upuuzi wao na wamezeeka.!
 
Nina mawazo kuhusu mambo ya kuwekwa katika mpango mpya wa maendeleo wa Taifa.

Mawazo yangu siwezi kuyaweka humu maana inaweza yakaibwa na nchi nyingine hivyo kupelekea mambo hayo kwenda kufanya na nchi nyingine na sisi tukaendelea kubaki nyuma.

Nawajua watendaji wetu wengi, hawasomagi meseji wala kujibu message wanazotumiwa, ikiwemo kwenye social media zao.

Najua pia Rais amezuia kutumiwa direct message kwenye mitandao ikiwemo twitter na kwingineko.

Najua Rais yupo humu na Wasaidizi wake wapo humu pia.

Nataka kutuma haya mawazo. Naomba wanijibu nawafikieje?
Usijali kijana, nitumie mimi
 
Back
Top Bottom