Acha kuishi kwa kuhisihisi. Hiyo connection niitoe wapi?Nilijua una connection na rais. Au unatuchora?
Duh! Jinsi ulivyokuwa unaandika humu, Nilikuwa najua unakaa ikulu kabisa. Ok nimegugo nimepata hiiAcha kuishi kwa kuhisihisi. Hiyo connection niitoe wapi?
Chawa usiye na cheoMwambie afanye haraka [emoji1][emoji1][emoji1]
Asante.Duh! Jinsi ulivyokuwa unaandika humu, Nilikuwa najua unakaa ikulu kabisa. Ok nimegugo nimepata hii
Anuani ya rais na namba na barua pepe
S.L.P 9120
Dar es salaam
Simu : 0222116898
Simu : 02222116900/6
Barua pepe : ikulu@ikulu.go.tz
Unaweza wasiliana na President kwa kutumia barua pepe: ikulu@ikulu.go.tz
Waandikie ....press@ikulu.go.tz
Barabara ya Julius Nyerere, Chamwino, S.L.P. 1102, 40400 DODOMA · 026-2961500/1 · 026-2961502 · press@ikulu.go.tz
Nenda getini mwa ikulu kabisa na umsubirie. Dodoma au DarAsante.
Kwenye hizi email nilishawahi kutuma mail ila hawakujibu
Ndio ofisi mawasiliano yote...ya Rais barua zote email huwekwa file ...tiss huzipitia recomend pa kupelekwa.....huwa hawatupii.....tuma barua kawaida na barua pepe piaSasa hawa press si kurugenzi ya habari na mawasiliano?
Asante sanaNenda getini mwa ikulu kabisa na umsubirie. Dodoma au Dar
Au nenda dm ya account yake ya Instagram. Labda wasaidizi wake watakusaidia dm
Au mwambie waziri Gwajima. Yupo active humu jf akupe namba ya Samia. Au akupe connection ukutane na samia uso kwa uso.
Account yake ya jf ni Dkt. Gwajima D
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jaribu kwa Lucas mwashambwa
Au amtafute yule Chawa Bwana Magoti!Jaribu kwa Lucas mwashambwa
Mtafute Chawa wake Bwana Magoti,yule mwenye kibyongo,yupo Instagram.Kwa mfumo wa nchi yetu ulivyo sidhani kama hata iyo barua ataiona
Humu chenga huwa hawajibu ila ajaribu kutuma kwa email ya Katibu Mkuu Kiongozi huko Mimi nimewai kufanikiwa.Duh! Jinsi ulivyokuwa unaandika humu, Nilikuwa najua unakaa ikulu kabisa. Ok nimegugo nimepata hii
Anuani ya rais na namba na barua pepe
S.L.P 9120
Dar es salaam
Simu : 0222116898
Simu : 02222116900/6
Barua pepe : ikulu@ikulu.go.tz
Unaweza wasiliana na President kwa kutumia barua pepe: ikulu@ikulu.go.tz
1 Barabara ya Julius Nyerere, Chamwino, S.L.P. 1102, 40400 DODOMA
026-2961500/1
026-2961502
press@ikulu.go.tz
Sanduku la mooni!Nina mawazo kuhusu mambo ya kuwekwa katika mpango mpya wa maendeleo wa Taifa.
Mawazo yangu siwezi kuyaweka humu maana inaweza yakaibwa na nchi nyingine hivyo kupelekea mambo hayo kwenda kufanya na nchi nyingine na sisi tukaendelea kubaki nyuma.
Nawajua watendaji wetu wengi, hawasomagi meseji wala kujibu message wanazotumiwa, ikiwemo kwenye social media zao.
Najua pia Rais amezuia kutumiwa direct message kwenye mitandao ikiwemo twitter na kwingineko.
Najua Rais yupo humu na Wasaidizi wake wapo humu pia.
Nataka kutuma haya mawazo. Naomba wanijibu nawafikieje?
Tuma kwa Katibu Mkuu Kiongozi,nimewai kujibiwa email yanguAsante.
Kwenye hizi email nilishawahi kutuma mail ila hawakujibu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sikuzote tunavyobishana humu najua mwenzetu upo kwenye sistimu tena jikoni kabisa.
Kumbe ni kamchape tu kama wengine huku.
Mtumie WhatsApp yako huwa anajibu chap bila mbambamba.Nina mawazo kuhusu mambo ya kuwekwa katika mpango mpya wa maendeleo wa Taifa.
Mawazo yangu siwezi kuyaweka humu maana inaweza yakaibwa na nchi nyingine hivyo kupelekea mambo hayo kwenda kufanya na nchi nyingine na sisi tukaendelea kubaki nyuma.
Nawajua watendaji wetu wengi, hawasomagi meseji wala kujibu message wanazotumiwa, ikiwemo kwenye social media zao.
Najua pia Rais amezuia kutumiwa direct message kwenye mitandao ikiwemo twitter na kwingineko.
Najua Rais yupo humu na Wasaidizi wake wapo humu pia.
Nataka kutuma haya mawazo. Naomba wanijibu nawafikieje?
Nenda tweets kisha weka picha ya muarabu kwenye profile yako kisha tuma ujumbe kwa SAMIANina mawazo kuhusu mambo ya kuwekwa katika mpango mpya wa maendeleo wa Taifa.
Mawazo yangu siwezi kuyaweka humu maana inaweza yakaibwa na nchi nyingine hivyo kupelekea mambo hayo kwenda kufanya na nchi nyingine na sisi tukaendelea kubaki nyuma.
Nawajua watendaji wetu wengi, hawasomagi meseji wala kujibu message wanazotumiwa, ikiwemo kwenye social media zao.
Najua pia Rais amezuia kutumiwa direct message kwenye mitandao ikiwemo twitter na kwingineko.
Najua Rais yupo humu na Wasaidizi wake wapo humu pia.
Nataka kutuma haya mawazo. Naomba wanijibu nawafikieje?
Hii ni tofaut na Sio email