Nawezaje kutuma meseji yenye maneno mengi (ie. zaidi ya 200) kwenye SMS app yangu?

Nawezaje kutuma meseji yenye maneno mengi (ie. zaidi ya 200) kwenye SMS app yangu?

Pastory Kimaryo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
967
Reaction score
668
Habarini wana JF, nahitaji kujua kama kuna uwezekano wa kutweak sms app na kufanya iweze kutuma meseji yenye maneno mengi kama vile 200 na zaidi, hata kama kuna mbinu au application inayoweza kufanya hivyo, naomba tujuzane manake nataka niwe natuma simulizi kwenye app ya ujumbe mfupi na sio WhatsApp kwasababu ya changamoto ya bundle.

Wana tech, natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom